nampenda sana ila....

nampenda sana ila....

Hakupendi huyo, let her go. Utampata mwingine mwenye mapenzi ya dhati kwako.
 
Tafuta anaekupenda..au unaogopa utamkumbuka hizo siku mbili tatu..
 
Wadada wangekua wachache huku duniani sis tungekua na maisha magumu sana..bora mungu alijua
 
no sio wahuko mkuu
ila hivi videmu havipendeki kabisaaaa...hakula anachokosa ila basi tu
Kwa heshima inayokustahili mkuu utafiti, nadhani hii umemsemea. If she gets everything then go find another uone kama hatorudi.
Sometimes she just not that into u n if u think u should go u must go.
 
utafiti huyu msichana unayemzungumzia ndio yule binti wa kisomali uliyewahi kumpenda na kuomba ushauri hapa jf?
 
Last edited by a moderator:
Kwa heshima inayokustahili mkuu utafiti, nadhani hii umemsemea. If she gets everything then go find another uone kama hatorudi.
Sometimes she just not that into u n if u think u should go u must go.

since nimeandika hii thread nishamsahau 15% coz ushauri wenu wakuu...
 
hivi haya matokeo ya tafiti mnazokujanazo mara 75% mara 100% mara 50% mbona hatuoni mkifanya hypothesis testing eeeh.
 
kaka hebu kuwa SINGLE BOY kama mimi yaan kupendana mwisho siku moja!
siku ya pili unachukua mwingine hautaumia ng'o!
mimi mwenzio sitendwi kibwegebwege!!!
act as a man with strong decission.....
 
Pole mkuu nnachokuomba tu tia nia kweli halafu usijaribu ata kumtumia sms achilia mbali kumpigia,kisha usikubali kua idle jichanganye na watu,ungekua mtu wa mambo yetu yale ningekuita sehem saa hz tushtue shtue!angalizo hawa watu hawapendwi 100pcnt!
 
nitafanya ivo mkuu.....asante sana
 
Kama ni kischana .com,,,,,, asee chalii yangu anza kutafuta mwingine....
 
Jipange upya. punguza mawasiliano naye, chelewa kujibu sms zake. Tafuta activities kama kucheck movies, music ,mpira nk utamsahau fastaaaa
 
naomba msaada wakumsahau mwanamke niliekua nampenda sana wakuu....sometimes natamani ninywe pombe ila maadili, dini inanikataza

we dini gani...inayoruhusu zinaaa na kukataza pombe
 
jamani kaka na dada zangu..huyu msichana nampenda sana ila kila mara tunakosana..najaribu sometimes kukubali kosa na hata kuomba radhi but mh! hata kama nampenda sana naona mimi sio chaguo lake..nabebembeleza kila siku am tired wakuu nimesema basi basi basiii..hata kama una uzuri wa malaika ila usinifanyie ivo...tunaambiwa wanawake ni 75% ya watu duniani right? nitapata mwingine......

sababu hunakazi ya kufanya ndomana unashindwa kumsahau....that means, tafuta kazi
 
Back
Top Bottom