Hao wengi wana asili ya Asia na Asia asili yao ni biashara , hawajakua matajiri sababu ya uislamu mbona hujamtaja Michael shirima,na mzee mengi kipindi yupo hai,mbona misikitini hamtoi sadaka ,mbona mmeshindwa kujenga taasisi kubwa za kielimu na hospitali
Mkuu mpya wa mkoa wa mwanza unaenda kuua biashara za machungwa na matunda mengine kwa kukataa matunda yasiuzwe barabarañi yauziwe sokoni tu,hivi unajua huko mabarabarani ndio kwenye wateja?,yaani unataka mtu akitoka kazini akihitaji hata machungwa mawili ayafate masokoni hujui unaenda kuua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.