Recent content by rashidisa

  1. R

    JamiiForums Tanzania BBC imepanga kutoa video inayoonesha Unabii Feki wa TB Joshua

    BBC nyie siyo wa kwanza wapo waliosema Yesu hakufa wanafunzi walimuiba kwahiyo duniani Kila linalofanyika lazima waje wapinzani Kwa hiyo utafiti wenu Wala siyo utafiti tu lakini na Hila njama mbaya juu ya kanisa tunajua ipo. Nakumbuka wazungu pia aalipofika afrika walipoona dawa zetu zinaponya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ubunge wa Halima Mdee na Wenzake ni Batili

    Siyo batili ubunge wao ni Halali Kwa mjibu wa sheria
  3. R

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Wakurugenzi wa halmashauri ni makada wa CCM, hawawezi kutenda haki

    HAYA MABADILIKO YA SHERIA WOTE NO MAKADA WA CCM Ndg yangu zito unapoteza muda wako hakuna pa kuponea ,Jaji mkuu Tanzania bara ni mteule wa Raisi lazima ateue Kada, Jaji mkuu Zanzibar nimteule wa Rais ni Kada pia changanya jina jina Moja atakaloteua Raisi lazima ateue Kada mtaponea wapi???
  4. R

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Asante Kwa kufuatilia maoni yetu wananchi,lakin tatizo la umeme Kwa sasa ni la Nchi nzima kukatika Kwa umeme imekuwa ni kama kawaida kiangazi Hadi masika sababu za kutukatia umeme zimekuwa rukuki. shirika la Tanesco tuliamini baada ya serikali kulifanyia maboresho tulitegemea mtaona hasara...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya ya Serikali tatu ni mzigo usiobebeka kwa Watanzania

    Hodi Wana JF, Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake Ili mradi asivunje sheria kwenye mchakato wa hii Katiba Mpya. Wana siasa na wale wote wabobezi wa mambo ya Katiba njoni na hoja za nguvu siyo nguvu zenu zinazotokana na uroho wenu wa madaraka. Kuhusu kipengere ndani ya Katiba pendekezwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania TANESCO watenge eneo kwa umeme usiokatika sasa

    Tanesco mnachofanya mnashusha elimu yenu ya mambo ya umeme ,hivi mnakata kata umeme bila taarifa na bila kutuandaa hii SI kuua uchumi wa Taifa letu? Kumbuka watu wamewekeza Kila Kona ya Nchi wakijua umeme ni wauhakika sasa Kila wakati mnakatakata umeme Kwa elimu Gani mliyosoma? Mfike mahali...
  7. R

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco mnachofanya mnashusha elimu yenu ya mambo ya umeme ,hivi mnakata kata umeme bila taarifa na bila kutuandaa hii SI kuua uchumi wa Taifa letu? Kumbuka watu wamewekeza Kila Kona ya Nchi wakijua umeme ni wauhakika sasa Kila wakati mnakatakata umeme Kwa elimu Gani mliyosoma? Mfike mahali...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Watoto wakikusumbua sana unawatafutia dude wahangaike nalo upumue kidogo

    Maisha yanasonga TU haijarishi ninachojua kazi Iko kazini jembe LA kazi watu wa mara waliopewa piki piki walizokuwa wameshakata tamaa na Mali zao kupewa je utawaambia kitu hivi kweli? Mtapata tabu sana MAKONDA GO GO GOOOOOOLI. MAMA SAMIA UMEUPIGA MWINGI ONA WANAVYOTUNGA TUNGO ZAO...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mambo makubwa ambayo wengi hawayajui kumhusu Nabii Ibrahim

    Umejitahidi kuelezea ingawa bado unatakiwa kutoa shule mpaka akina mzee wa upako wakurlewe
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kagasheki: Mtindo wa Makonda kuwapa tumbo joto Mawaziri haufai. Dunia nzima kuna utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi

    Kagasheki ana haribika Kila siku ivi mbona hajaacha chili zake?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mara wamsimika Makonda na kumpa jina la Manyama, aagiza bodaboza ziachiliwe, Mizigo ya magendo itozwe kodi na iachiliwe

    Songa mbele makonda Wala usipunguze mwende happy papo we nyooosha
  12. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ungana na upepo wa Paul Makonda

    Makonda anafanya kazi sana nafurahishwa na upepo aliokuja nao kijana acha akipaishe chama cha mapinduzi, mazimgira yake ya kazi ni magumu lakini amejitahid kufanya kazi kamilifu
  13. R

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Nina shida ya kustream live ibada ni mtandao gani unaweza kuwa na kasu
Back
Top Bottom