Huwa nakerwa sana na matangazo kibao nikifungua Internet kwenye simu yangu, MB zangu zinakwenda bure kwenye haya matangazo ambayo kwangu mimi hayanisaidii chochote.
Wananzengo wajuzi nipeni njia ya kuyaondoa haya matangazo yanaboa mno.
Miezi kadhaa iliyopita nilipata wageni toka kijijini walikaa kwangu kama mwezi hivi kumbe waliniachia balaa la kunguni.
Nimetumia dawa mbali mbali kupambana nao bado wananisumbua naomba msaada kwa anayejua dawa kali niwamalize maana ndani hakulaliki.
Simba bado haijajipanga mambo mengi wanakurupuka Yanga wapo vizuri sana wanapanga mambo yao kitaalamu zaidi tusubiri ngao ya hisani ndio watu watajua ubora na mipango ya Yanga inavyolipa
Hao jamaa hawana cha maana walichokifanya kukaa kwao Dubai, walitakiwa waongelee MKATABA wa pande zote mbili na sio ufanisi wa DP HII NDIO SHIDA YA KUPELEKA MAMBUMBU wasiojua sheria na MKATABA ya kimataifa sehemu noetic wamenisikitisha sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.