Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Harrison Mwakyembe amesema Serikali inatambua haki ya vyombo vya habari katika kukosoa, kujadili na kuchambua masuala mbalimbali.
Hata hivyo, amesema visivuke mipaka na kuhatarisha masilahi ya Taifa katika kufanya kazi zake.
Dk...
MSHAMBULIAJI wa Simba, John Raphael Bocco yuko fiti kwa mchezo na mahasimu wa jadi, Yanga Jumamosi Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam baada ya kupona maumivu ya mguu.
Mshambuliaji wa zamani wa Azam FC, jana na leo amefanya mazoezi kikamilifu katika kambi ya Zanzibar kujiandaa na mechi ya Jumamosi...
Nguvu za kiume ni nini?
Huu ni uwezo wa mwanaume kuweza kusimamisha uume wake na kuhimili mda mrefu kwenye tendo la ndoa bila kuchoka kirahisi.
Waswahili wanasema ni “uwezo wa gari kupiga starter lenyewe bila kusukumwa”
Utafiti unaonyesha kati ya wanaume watatu, mmoja ana tatizo la nguvu za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.