Recent content by Rashid mohamed

1. R

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

tuna shukuru sana ndug! Hebu fuatilia kipindi chapili nacho utupe matokeo,
2. R

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

dah! Nikweli ndugu, hebu tupeni matokeo ya michezo ya leo hasa yanga simba na azam, msaada kwenye tuta,
3. R

Wikileaks: Dr. Salim akubali kuwa kulikuwa na ubaguzi uchaguzi wa 2005

hiiiii!!! Nibora angekuja salim klk mkwele, kwakua alikua mzuri wa sura ndo mana, sikutegemea kua hata ww beni km ungetuachia huyu mzur! Mana ww ndo chanzo cha matatizo tulonayo, lkn maandiko yanasema malipo nihapapa gunian haya jk pambana tuone nasisi waripa kodi wenye dhiki na...
4. R

Kutoka Mlimani City: Mkutano wa Makandarasi Tanzania 2011!

Hii inchi itaacha lini tabia ya kufuja pesa za walipa kodi jamani? Sasa hata apo kunahitaji ngoma? Hiyo pesa itakayo tumika kwaajili ya ngoma wizara ituletee huku kwetu japo tuzibe mashimo mana nikero,
5. R

Nape mnafiki? Sasa amsifu Rostam hadharani huko Igunga

Nape acha siasa pofu, wana igunga msiwackie ccm niwanafiki walopindukia, awali walitamka kua rostam nifisad leo kawa mtu mwema kulikoni tena? Nape tuhurume!!!
6. R

Kijana najituma sana kwa huyu mama, lakini bahili!

<br / pole kijana, huyo mama sio m2 mzuri kwako atakuharibia maisha yako....!
Back
Top Bottom