Recent content by Rasc

  1. Rasc

    Kumuamini mwanamke ni tatizo

    Jamaa yetu kaenda masomonj kamuacha mkewe now kapewa mimba anaangaika kuitoa
  2. Rasc

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hujui mpira wewe Viungo wameandaliwa kimbinu zaidi na ndiyo maana mara zote umemuoma Kante anaonekana zaidi kwenye mashambulizi ya mwisho kuliko Mount je unajua kwanini Tuchel amefanya hivuo
  3. Rasc

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Sawa tunakufa wewe mjanja sijui team yako iko wapi
  4. Rasc

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Udhaifu gani alionao chelsea
  5. Rasc

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mwaka 2012 Chelsea tulibeba FA CUP pamoja na UEFA CHAMPION LEAGUE natumai madogo watafanya kama kaka zao msimu huu kwa kubeba makombe aya mawili tena
  6. Rasc

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Acha uzwazwa majeruhi ni nani na nani ambao wangeleta ushindi acha kua bumunda
  7. Rasc

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mtoto wangu wa kiume ajaye nitampa jina la huyu mwamba heshima kwake.
  8. Rasc

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Yaani tumepigwa
  9. Rasc

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Sifa ya namba 9 ni kufunga magoli sio kukimbia na mpira watazame washambuliaji hatare walikua awana ayo mambo ya mawinga Drogba Van Persie Suarez Lewandiwsk Aguero Sasa uyu mfungaji gani kukimbia na mpira kazi yake ni kugusa ba kujipanga ndani ya box
  10. Rasc

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Wewe bhana werner atoke kwanza ndiyo uongee ayo
  11. Rasc

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mfungaji mwenyewe yuko wapi sasa
  12. Rasc

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kwamweli uyu jamaa mimi nimeanza kumchoka kwa nafasi muhimu anazopoteza yaani unakosa Open Goal tetena hapo ata nafasi ya kutuliza alikua nayo
  13. Rasc

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Tutapiga mpira mwingi sana kwa kikosi iko panya apiti
  14. Rasc

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kusema kweli Livapulu mjiandae kuteseka tena kwa miaka mingi zaidi
  15. Rasc

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    SIMBA LEO tunapoteza Point maana tumedolola sana
Back
Top Bottom