Recent content by raraa reree

  1. raraa reree

    JamiiForums Tanzania HOJA Hivi nini kinaendelea? Mbona Masaki imekuwa kama "Construction Site"? Kulikoni kila sehemu inajengwa?

    Ukisikia eti kuna goba unabaki hiiiiii
  2. raraa reree

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya ahoji Mataifa mengine kama ya Ulaya wamefanyeje wakawa walivyo na Afrika ikawa ilivyo viongozi kujinuifa badala ya nchi zao

    Ujamaa Ruksa Ukweli na uwazi Kasi mpya nguvu mpya Ari mpya Hapa kazi tuu Kazi na Utu Eeeeeeehhhhh
  3. raraa reree

    JamiiForums Tanzania HOJA Hivi nini kinaendelea? Mbona Masaki imekuwa kama "Construction Site"? Kulikoni kila sehemu inajengwa?

    Ulitaka hali ya miaka 5/6 nyuma iendelee kuwa hivyo hivyo
  4. raraa reree

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wanaojiunga A-level Sekondari ya Samora Machel, Mbeya wanatakiwa kwenda na matofali 300 - 500 ya fensi

    300 kwa walio chaguliwa 500 kwa wanao hamia Matabaka tabaka yasiyo na kichwa wala miguu
  5. raraa reree

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

    Kwamba ikitokea mmoja kauwa mwenzake hamna kesi sio 😄 ndio sheria za sebuleni kwenu sio
  6. raraa reree

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

    Ukisikiliza wasifu wa Jane sehemu alizo pita kufanya kazi nyumba kama ile there is no way angeweza kuijenga
  7. raraa reree

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Jane Urassa - mke aliyeuawa kwa risasi 💔

    Na nyie mmekubaliana kuuana endapo mtafumaniana ebhanaeeee nyie kiboko
  8. raraa reree

    JamiiForums Tanzania Usiwe Mtumwa wa Wema — Jifunze Kuweka Mipaka

    Usije kurudi nyuma kuwaomba msaada wata kushangaa maana hawana
  9. raraa reree

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuficha Mali zangu kwenye ndoa iliyojaa migogoro?

    Hiyo michezo ya kurushiana majini sio mambo zangu
  10. raraa reree

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuficha Mali zangu kwenye ndoa iliyojaa migogoro?

    Mahakama ya wanyonge 😄
  11. raraa reree

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuficha Mali zangu kwenye ndoa iliyojaa migogoro?

    Na ndugu zake nao wana wake zao
  12. raraa reree

    JamiiForums Tanzania Kwa connection ile ya Harmonize mvua za El Nino zikija tutapona kweli?

    Bangbros ime waharibu watu 😁
  13. raraa reree

    JamiiForums Tanzania Hayati Mkapa: Makosa yangu yalisababisha mafisadi kujenga ngome ndani ya Chama cha Mapinduzi

    Sio intelligent tuu pia alikuwa na connection za hatari Kiwanda chake kime taifishwa Nyerere ana muambia chagua nikupe kazi gani UN au popote jamaa aka muambia sihitaji chochote zaidi ya kusimamia biashara zangu 😄
  14. raraa reree

    JamiiForums Tanzania Hayati Mkapa: Makosa yangu yalisababisha mafisadi kujenga ngome ndani ya Chama cha Mapinduzi

    Hapo sasa Na sijui ilikuaje baada ya utaifishaji Nyerere akamfanya Chande kuwa mwenyekiti wa bodi kwenye mashirika yote ya umma baadae tena kawa mwenyekiti wa ubinafsishaji chini ya Mkapa
Back
Top Bottom