Recent content by Rapid Tranquilizer

  1. Rapid Tranquilizer

    Wanaume msiolea watoto wenu msitegemee upendo wao

    yaaani mkuu ulichoandika hapa bila ya nyongeza ndio kilichonitokea mimi
  2. Rapid Tranquilizer

    Naomba mbinu za kuishi na mume bahili

    Usikute wewe ndio ulimtibua jamaa wa watu alikua anaenda fresh tu mwanzoni saivi kaona isiwe kesi kaona akuoneshe mziki hua unaenda vipi ukileta kiburi Sababu ni ngumu kwa mwanamke wa leo kuolewa na mtu wa hivo lazima jamaa alikua fresh at first Haya ndio matatatizo ya kusikiliza one sided story...
  3. Rapid Tranquilizer

    Nimeachwa na mke, kwa sababu sina hela

    Yaani mwanamke saivi akupende hivi hivi tu mkuu labda awe denti tena wa O level Lakini hawa wengine wote wanataka mtu mwenye uhakika wa maisha yaani hela haswaa isiyo ya ma wenge
  4. Rapid Tranquilizer

    Nimeachwa na mke, kwa sababu sina hela

    Tafuta hela acha kulalama mkuu! Hivi huoni diamond anavobadilisha watoto wa level ya Distinction au A class na wanampenda balaaa akiwaacha full michozi lakini kipindi hio anauza mitumba hata vi chenchede au viswaswadu vya mtaani vilikua vinampita hiviiii!!😊
  5. Rapid Tranquilizer

    Wanaume msiolea watoto wenu msitegemee upendo wao

    shangaa wewe mkuu kwani lazima mtoto akupende?? Kwanza me nnavojua watoto hata iweje hata uwe karibu kwa kuhudumia familia yako kwa hali mali kuanzia malezi mpaka gharama za kulea mpaka wakiwa wa kubwa bado watakupa asilimia 5 tu za kukujali wewe kama Baba 95% zote kwa Mama So ka unamhudumia...
  6. Rapid Tranquilizer

    Wanaume msiolea watoto wenu msitegemee upendo wao

    it's ok na wao wasitusumbue sasa
  7. Rapid Tranquilizer

    Wanaume msiolea watoto wenu msitegemee upendo wao

    Na mpango wangu ndio huo hapo bado wa tatu watakua wa 4 then me ni bata tu kwa kipindi kitachobakia sizai watoto ili waje wanisaidie baadae coz me mwnyw niko vizuri Aisee wao wakiihitaji msaada wangu watanitafuta wasipohitaji it's Ok
  8. Rapid Tranquilizer

    Wanaume msiolea watoto wenu msitegemee upendo wao

    sawa niko tayari kua single for the rest of my life kuliko kuishi na mpumbavu!! Ndukiiiii🏃🏃🏃
  9. Rapid Tranquilizer

    Wanaume msiolea watoto wenu msitegemee upendo wao

    Na ndo tumewaachia huko sasa sisi Ndukiiiii🏃🏃🏃🏃
  10. Rapid Tranquilizer

    Wanaume msiolea watoto wenu msitegemee upendo wao

    Wanasema hivi Kama unashindwa kuwaelewa wanawake basi ujue ushawaelewa tayari Coz wanawake hawaeleweki
  11. Rapid Tranquilizer

    Wanaume msiolea watoto wenu msitegemee upendo wao

    Sina haja ya kuendelea kuweka bonding na mtu ambae anataka kumtumia mtoto ka remote ya kunipelekeshea.. Amejifanya mjuaji it's fine alee mwenyewe mtoto angu sio taahira atanifuta tu mshua wake naeza nisimsaidie utotoni ila hata ukubwani naeza msaidia coz nia ninayo
  12. Rapid Tranquilizer

    Wanaume msiolea watoto wenu msitegemee upendo wao

    4 sure mkuu me nawashangaa hawa ujue ka kututafuta watoto wanatutafuta sana wakishapata akili na kujielewa na kuweza kuyachuja ya Dunia ki undani zaid kwa kuzichuja sumu walizomezeshwa na mama zao
Back
Top Bottom