Recent content by Raphael Thedomiri

  1. Raphael Thedomiri

    Kuamka ukiwa umechanjwa shingoni (imezungukwa yote) mbavuni na mapajani Ina maana gani?

    Kama anayo tabia ya kung'ata sana kucha ajichunguze vizuri atagundua kwamba sio chale bali ni michirizi inayotokana na kujikuna na kucha zilizochongoka.
  2. Raphael Thedomiri

    Makubwa(Kijana anayetrend Mitandaoni kwa kuuza Condom Mtaa kwa mtaa

    Anajua anachokitafuta na labda atakipata
  3. Raphael Thedomiri

    Lema: Biblia inasema Asiyefanya Kazi asile, Nyie mnaopanda mbegu kwa Manabii badala ya kuvuna Mnavunwa nyinyi!

    Sio yeye tu bali yeye na familia yake watakuwa wa mwisho🤣🤣🤣
  4. Raphael Thedomiri

    Lema: Biblia inasema Asiyefanya Kazi asile, Nyie mnaopanda mbegu kwa Manabii badala ya kuvuna Mnavunwa nyinyi!

    Mke anamsikiliza mchungaji wake sio tu kuliko mumewe bali kuliko hata Mungu!!
  5. Raphael Thedomiri

    Hussein Bashe, zuia mahindi kutoka nje kwanza nchi ijitosheleze

    Kama ni legacy Mheshimiwa sana Bashe atatuachia wakulima basi ni huu msimamo wake wa kutofunga mipaka, kunatunufaisha sana.
  6. Raphael Thedomiri

    Ukweli lazima usemwe, Tunahitaji Muungano wa Serikali 1 tu

    Kwa mtanganyika hilo ni jambo zuri linalokubalika ila sio kwa mzanzibari
  7. Raphael Thedomiri

    Mnaoshinda mitandaoni mnafanya kazi saa ngapi?

    Kazi kidogo, mtandaoni kidogo. Kazi inakuwa nyepesi zaidi
  8. Raphael Thedomiri

    Wanawake wana shida gani?

    Ngoja nami nisubiri majibu hapa[emoji23]
  9. Raphael Thedomiri

    Sitaki Ualimu, nimechoka naombeni ushauri

    Unapowaza cha kazi gani, kuna wanaowaza watakipata lini. Yachunguze mawazo yako kwa kina isije ikawa ni umeikinai kazi, hauna tu hamu na kazi jambo ambalo humkuta kila binadamu katika kila kazi.. Na kama ni hivyo, ku-deal na changamoto kama hiyo sio kuicha hiyo kazi
  10. Raphael Thedomiri

    UTEUZI: Rais Samia ateua Balozi mmoja na kumhamisha Humphrey Polepole kuwa Balozi nchini Cuba

    Watumishi wanapoteza kujiamini katika kazi zao wakihofia uhakika wa kibarua chao, wanashindwa kuingiza mipango ya kudumu katika kazi waliyopewa
Back
Top Bottom