HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,107
- 103,076
Naangalia mahubiri ya Mwamposa asilimia 98 ya watoa ushuhuda ni wanawake.
Wao ndiyo wana uvimbe tumboni
Wao ndiyo walikuwa hawawezi tembea
Wao ndiyo wagonjwa na sickle cell
Wao ndiyo wanapatwa na mapepo
Wao ndiyo hudondoka
Wao ndiyo huenda tapika vitu vya ajabu ajabu, mshangao ni kuwa hawatapiki ndani ya kanisa,wanaenda tapika nje huku kamera ikiwarekodi.
Wanawake wana tatizo gani?
Leo vilema wote fimbo zao zafanana, ni kama kila mtu alitoka sehemu anayojua na fimbo sawa na mwenzake