Kweli watanzania tumejikita kwenye njaa zaidi. Hivi kwa mtu mwenye akili timamu anawezaje kwenda kuzima moto kwa jirani wakati kwake ndo uko unaendelea kuteketeza kilichomo ndani? I now believe that "tuna laana ya fikra" Dr Slaa achana na hao wanaotumiwa na mwisho wa siku wanaambulia kofia na...
Kamwe hawawezi kurudia makosa kama yaliyotokea kwa Mwangosi hvyo wamejipanga kuitumia ipasavyo. Mkuu vuta subira itatoka tu. Achana na hao mawakala wa magamba.
Mambo ndo hayo. Kwanza mi naona wamechelewa na ingebidi waanzie kwenye mlipuko wa Arusha. Hatuwezi kubembeleza serikali wakati ni jukumu lake kulinda raia na mali zao. Good job.
Namshangaa huyo mbunge anaedai eti mdogo wake Mbowe kaharibu matokeo. Hivi anatumia kanuni ipi ya bunge inayomruhusu kumchafua Kamanda Mbowe? Kama anatimamu angesema waziri wa Elimu awajibike na watu wake na si kumhusisha mtu ambaye hausiki kabisa. Ila simlaumu sana nadhani hii yote ni ishara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.