Watanzania wenzangu
Yule gavana wa Benk kuu ya Tanzania aliyejificha nchini marekani tumepata taarifa za uhakika kutoka kwa ndugu zetu waliopo huko kuwa amekuwa akionekana maeneo ambayo ni very cheap kulingana na hadhi yake'je inawezekana huyu mzee aliyejificha Marekani na kudanganya Watanzania kuwa amefari ameanza kufilisika?kama ni kweli basi ajiandae kuvuna alichopanda'Mungu tunayemwamini ataweka hadharani mambo yote yaliyo gizani!
Good luck natoka kijiji kimoja na balali na kaka yangu aliniambia alishawahi kumuuliza mama yake mzazi kuhusu hilo na alimjibu simple,,''mwanangu hajafa na msiba haujawahi letwa hapa kijijini'',,,,,balali afilisike its nonsense,all his investments,years of working abroad and domestically plus fishy deals,mkuu una imagine!!!
muwe mnaweka na picha bana..
sema hakyanani...!DAUDI BALALI yupo hai.believe or not.
yaleyale tuliyoambiwa sokoine anaonekana ofisini
Watanzania wenzangu
Yule gavana wa Benk kuu ya Tanzania aliyejificha nchini marekani tumepata taarifa za uhakika kutoka kwa ndugu zetu waliopo huko kuwa amekuwa akionekana maeneo ambayo ni very cheap kulingana na hadhi yake'je inawezekana huyu mzee aliyejificha Marekani na kudanganya Watanzania kuwa amefari ameanza kufilisika?kama ni kweli basi ajiandae kuvuna alichopanda'Mungu tunayemwamini ataweka hadharani mambo yote yaliyo gizani!
Watanzania wenzangu
Yule gavana wa Benk kuu ya Tanzania aliyejificha nchini marekani tumepata taarifa za uhakika kutoka kwa ndugu zetu waliopo huko kuwa amekuwa akionekana maeneo ambayo ni very cheap kulingana na hadhi yake'je inawezekana huyu mzee aliyejificha Marekani na kudanganya Watanzania kuwa amefari ameanza kufilisika?kama ni kweli basi ajiandae kuvuna alichopanda'Mungu tunayemwamini ataweka hadharani mambo yote yaliyo gizani!
Angalia yasije yakakukuta yakina mwaikyusa