Recent content by Raphael focus

  1. Raphael focus

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Shukurani mkuu, ngoje niishi na hii kwanza.
  2. Raphael focus

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Wakuu yeyote anaefahamu website ya kupakua Tv series duo audio (English dub'), resolution 480p, 720p &1080p anisaidie.
  3. Raphael focus

    JamiiForums Tanzania Filamu/tamthiliya za bongo na walinzi wasio na akili timamu

    Binafsi huwa sivutiwi kabisa na muvi au tamuthilia za Bongo. Hawa jamaa wanapata 'airtime ' kwasababu wabongo tunahuluka ya kufatilia na kushabikia vitu vya kijinga. Ukiangalia muvi zao hawapo 'smart ' kwenye kila jambo:- 🔴 Poor location; location inaathari kubwa sana kwenye ulimwengu wa...
  4. Raphael focus

    JamiiForums Tanzania Haya mahisa na maUTT yenu Kuna vilio vinakuja, watu hawataamini

    Ni 'Real Estate' zipi mtu mwenye 10M anaweza kuzinunuwa? Basi tuseme kuwa ni viwanja kama kichwa chako kinavyo waza. Je? utahitaji miaka mingapi kuvishikilia huku ukisubili thamani yake iongezeke? Ikiitafakari kwa kina iyo 👆 hoja hapo juu utajigunduwa kuwa uwezo wako wa akili upo chini ya...
  5. Raphael focus

    JamiiForums Tanzania Milion 500 Vs mpenzi wako

    Hiki ulicho positi hapa ninawasiwasi huko shuleni unafanya vibaya dalasani.
  6. Raphael focus

    JamiiForums Tanzania Kati ya biashara ya vyakula na vinywaji baridi na vikali ipi inalipa?

    Kwa mantiki hiyo umeuliza swali ambalo unafahamu jibu lake. Insane!
  7. Raphael focus

    JamiiForums Tanzania Wanaume mli-deal vipi na hili, kwenye suala la utongozaji?

    Elewa hapo juu 👆 maana yake unapaswa kuwa mvumilivu hadi atakapoachana na mpenzi wake wa sasa.
  8. Raphael focus

    JamiiForums Tanzania Landing Rights for satellite launching in Tanzania

    funaku , tatizo lako kubwa ni upungufu wa akili ulionao. Kama unafamilia (watoto wanaoenda shule), wakiwa wanatoka shule usiwaulize leo mumejifunza nini. Kwasababu funaku wewe ni punguwani wa akili.
  9. Raphael focus

    JamiiForums Tanzania Numetumiwa ujumbe na Yas kuwa kuwa nimezawadiwa GB 8 bure, lakini 30 mbona sizioni kwenye salio?

    "when you buy an Internet pack worth 2,000" wakati wenzio wanaingia darasani, wewe ulikuwa bize kuwaibia walimu mahindi yao.
  10. Raphael focus

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa vitisho ninaotumiwa na Really Pesa, je ni sahihi?

    Hawa wahuni nimewanyoosha sana. Ila kwa vitisho 🙌
  11. Raphael focus

    JamiiForums Tanzania Kwanini makanisa yanakusanya sadaka wakati hayalipi kodi na wala hayawakopeshi waumini ili wajikwamue kiuchumi?

    Wala hawatoi misaada kwenye vituo vya kulelea watoto yatima, wazee na watu wanaoishi kwenye mazingira magumu. Kiujumla hawa ni matapeli.
  12. Raphael focus

    JamiiForums Tanzania Nimekumbwa na maradhi maeneo nyeti. Ushauri wa kitabibu unahitajika

    Mkuu, naomba radhi kwa kukutisha, dhumuni la kupositi picha hiyo ni kupata ushauli sahihi kutoka kwa wadau. Kalibu kwa ushauli!
  13. Raphael focus

    JamiiForums Tanzania Nimekumbwa na maradhi maeneo nyeti. Ushauri wa kitabibu unahitajika

    Shukurani kwa ushauli, ngoje nijalibu na aina hii ya mamatibabu.
  14. Raphael focus

    JamiiForums Tanzania Nimekumbwa na maradhi maeneo nyeti. Ushauri wa kitabibu unahitajika

    Shukurani mkuu, nitafanyia kazi huu ushauli.
  15. Raphael focus

    JamiiForums Tanzania Nimekumbwa na maradhi maeneo nyeti. Ushauri wa kitabibu unahitajika

    Asante kwa kunifaliji mkuu!
Back
Top Bottom