Recent content by Raph

  1. R

    Je, magari haya yanamudu barabara zenye mchanga mwingi?

    Hii hua ni comment moja ya hovyo ni bora kukaa kimya
  2. R

    Subaru forester SJ5 / FB20 ni mgonjwa wa kansa anayetembea barabarani

    Mimi natumia subaru SHJ ya 2011 oil naweka 0W20 ya antlantic tu. Huu sasa ni mwaka wa tatu sijaona shida kiukweli
  3. R

    Ulivyoagiza gari yako spare key uliikuta sehemu gani?

    Sio kweli mzee...nadhani kama umeshawahi kuagiza gari utakutana na hali tofauti unisikilize stori za kijiweni mimi nakwambia nimenunua gari mpya na used na zote nakuta spare keys sehemu tofauti
  4. R

    Ulivyoagiza gari yako spare key uliikuta sehemu gani?

    Chini ya siti ya dereva ulikua umewekwa kule
  5. R

    Msaada: Nataka kujua utumikaji wa mafuta kwenye Valve Matic Engine

    Mimi kwa sasa natumia yenye valve matic engine siwezi kusema nibaya kwa kua hazijanipa shida ila ina nguvu sana kwa sababu valve matic ni kitu kinaongezwa kuipa nguvu gari kama ilivyo turbo...engine zenye valve matic ni kuanzina cc1790 ambayo ukiwa kwenye highway inakupa matumizi bora sana ya...
  6. R

    Msaada: Nataka kujua utumikaji wa mafuta kwenye Valve Matic Engine

    Hakuna mwenye ufahamu na hii engine au ndio watu hawazitumii
  7. R

    Msaada: Nataka kujua utumikaji wa mafuta kwenye Valve Matic Engine

    Nimeona gari nyingi ndogo sasa hivi zinatumia hii engine ya valve matic na zikiwa na cc1790 kuhusu ubora wanasema ni nzuri zaidi ya VVTI ila tunahitaji kwa mtu aliyeitumia hasa labda alete ushahidi Sent using Jamii Forums mobile app
  8. R

    Msaada kuhusu EGM combination

    EGM ni nzuri sana mimi nilisoma hiyo combination halafu chuo nikasoma procurement sijawahi kujuta maisha yanaenda
  9. R

    Hivi hii Halotel ina nini?! Au ni kwangu tu...

    Hakuna lolote halotel kwa dar sasa mtandao ni wa sehemu zote au ni mtandao wa mtaa kwa mtaa.kama wanataka kutoa huduma wahakikishe kote kunakua sawa labda kama unatoka nje ya mji
  10. R

    Hivi hii Halotel ina nini?! Au ni kwangu tu...

    Basi itakua nchi nzima sasa kwa hapa dar mwanzoni ilianza vizuri sana ila siku zinavyozidi kwenda network yao inapungua nguvu sa ivi natumia voda 4g iko poa sana halotel sitaki tena
  11. R

    Hivi hii Halotel ina nini?! Au ni kwangu tu...

    Watakua wako bize vijijini wa huku mjini hamlipi
  12. R

    Hivi hii Halotel ina nini?! Au ni kwangu tu...

    Kweli kabisa me niko dar network hasa ya internet imekua mbovu mno mpaka nimeamua kurudi zangu kwenye mtandao wa zamani
  13. R

    Mabasi gani mazuri kutoka Dar kwenda Kigoma?

    Basi la moja kwa moja dar es salaam mpaka kasulu ni adventure nauli 60,000/=
Back
Top Bottom