Msaada kuhusu EGM combination

Msaada kuhusu EGM combination

hujanielewa, kama unataka kusoma engineering za sua(Agriculture Engineering, water and irrigation engineering nk) kwa mtu wa EGM anaweza kusoma ila sharti matokeo yake ya O Level awe amepata angalau C kwenye Physics na Chemistry. kwa matokeo yako hauwezi kusoma hizo kozi za engineering za sua.

Apo nimekuelewa mkuu ahsante

Ndio maana nakwambia kasome CBG
 
Jamani naombeni msaada hv nikisoma egm naweza kwenda kusomea mambw ya madini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom