Kitu naamini ni Tundu Lissa anaweza akawa yuko ndani ila sidhani kama anaishi kwa mateso, naamini anakula vizuri, analala pazuri na huduma zote anapewa kwa usahihi
Hongera mkuu your story matches exactly with mine kasoro kuoa na kanisanj ila kila kitu kinafanana…inshort MUNGU ukimuomba kwa dhati anakupa mimi ni shuhuda na sitoacha kuwambia watu hivi…MUNGU mkubwa sana aisee
Ndiyo ila kama ungekua unafatilia ligi ya England vizuri kila wiki ungeona jinsi makocha wanavyolalamika makosa ya marefa kila wiki.
Halafu mpaka leo hatuna VAR, hii VAR ililetwa rasmi sababu wanafahamu fika marefa huwa wanakosea na hawaoni kwa wakati makosa uwanjani…wakulaumiwa ni TFF na bodi...
Tatz
[URL unfurl="true" media="instagram:DaYwGqDods
Tatizo mnaongea tu hiyo ligi ya zanzibar nani huwa anafatilia?…kuna ligi duniani ambayo hakuna hayo mambo ya marefa??…EPL kuna VAR na ndo the best league in the world ila kila weekend kuna malalamiko ya kiuamuzi,
Hawa Azam waendeshe timu...
Pole sana sister, situation ya kupoteza kila kitu naielewa nmepitia kila mtu anakuona hufai…lakini naomba nikushauri kitu na kwa dhati kabisa ya moyo wangu nasema hivi kama shuhuda…wengi huwa tukikosea au kufanya dhambi kubwa tunakua mbali sana kiimani, ila Mungu ukifanya toba kwa dhati kabisa...
umeongea point sana na hii kitu sio tu kwa simb ahata yanga ikianza kukosa matokeo muda wowote ule mashabiki wataanza mdomo...nadhani hawa matajiri watengeneze vilabu vyao maana uwezo huo wanao
A
Aisee we jamaa umeongea point sana, kila siku huwa nawaza kwanini DSM hairejeshewi kama inavyoingiza??, yan huwa inafikirisha sana sehemu inayo changia pato la taifa kwa zaidi ya 18% lakini ndo sehem ambayo wanachi wake wanazidi kuteseka, kuanzia miundombinu ya usafiri na barabara na maji. Ki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.