Cuf kumbuka wana wabunge kwenye bunge kuu la muungano na madiwani bara kila jimbo sasa tatizo liko wapi ? Wamewaachia ccm waendeshe kama wataweza tekeleza mahadi zao wao wenyewe wakishindwa kutimiza malengo ya wazanzibar 2020 wajiandae kuuwa wazanzibar wote huu ni mtego mkubwa sana kama ccm...
Sijaona sababu ya watu humu kukosoa kwa kila jambo huyu ndiye kwa sasa mtz namba moja kwa hiyo sioni sababu ya kumkosoa anaonyesha ni jinsi gani anatekeleza kwa vitendo maagizo ya viongozi wenzake bila kuwazalau big up jpm
Siyo tukuletee soma mwenyewe katiba pia kama walikuwepo basi sheria zirivunjwa tusigawe nafasi nyeti kwa waveni nirahisi nchi kuuzwa ? Mtanzania take care
Huuu uongo kabisa haiwezekani hawa jamaa kuwa IQ ndogo alafu waweze kuwa wako juu kuliko nchi kama Canada nk ila wtz hata wakala wa vipimo ameshindwa kutumia scale za kupimia mafuta anapimia fimbo ? Heheheheeeee IQ ndogo
Kwanini TRA wasianzishe benk yao ya kukusanya mapato yote kuanzi machinga mpaka muuza dagaa ? Kwanini wanatumia bank za marafiki? Ianzishwe bank ya tra kwa ajiri ya kukusanya kodi
Sasa lowassa kafikaje ?hapo au ndiyo ujinga wako kila kitu lazima uweke unafiki mbele utakuja nyongwa AAA!!! Jiangalie sana hii jnsu haina siasa watu wako kazini mtu kakosea lazima awajibike siyo kuleta ulumumba hapa ukome kabisa nyani weee
Mipasho time ccm bana yaani hukurupuka tu lowassa kawambiwa nendini mahakamani na mhusika mkuuu wa ufisadi kamtaja kikwete kaakaa kimyaaa nyie mnatumbuka mimacho tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.