Msekwa: CCM imepoteza sifa asili

Msekwa: CCM imepoteza sifa asili

lile fisadi lingine la CHADEMA lililohukumiwa na bunge kuwa fisadi la kutupwa CHADEMA mkalipa ugombea Uraisi unalisemeaje?
Mipasho time ccm bana yaani hukurupuka tu lowassa kawambiwa nendini mahakamani na mhusika mkuuu wa ufisadi kamtaja kikwete kaakaa kimyaaa nyie mnatumbuka mimacho tu
 
Mzee msekwa kaisha yupo kama kubenea tu mda wote kuwanza shanga na kuhangaika na mambo yasiyo ya msingi.
Simiyu yenu msekwa kasema kweli coz uvccm hamna adabu tena mnapiga wazee ...warioba na wew naona umemtoleasekwa maneno ya kuudhi.
Yuko sahihi ikiwa hata wew ni ccm kwani wanaccm wa asili waliheshimiana
 
kitu ch
Ameyasema hayo kwenye kitabu chake cha kuadhimisha miaka 39 tangu kuzaliwa kwa ccm. Amesema ccm imepoteza asili yake ya kutetea wanyonge

Chanzo: Magazeti ya leo
Kitu chochote kile kikipoteza sifa yake ya msingi hatua ya kwanza ni kukiacha, mfano:

1. Mke au mume akipoteza sifa ya uaminifu katika ndoa- uwezekano mkubwa ni kuachana
2. Nguo/ Kiatu ikipoteza uzuri wake- unaacha kuivaa unatafuta nyingine
3. Gari au kifaa kingine kikipoteza upya wake- unaachana nalo
4. Chama cha siasa kikipoteza sifa yake ya Msingi- unaachana nacho, kwa nini unaendelea kubakia huko
 
K
kitu ch

Kitu chochote kile kikipoteza sifa yake ya msingi hatua ya kwanza ni kukiacha, mfano:

1. Mke au mume akipoteza sifa ya uaminifu katika ndoa- uwezekano mkubwa ni kuachana
2. Nguo/ Kiatu ikipoteza uzuri wake- unaacha kuivaa unatafuta nyingine
3. Gari au kifaa kingine kikipoteza upya wake- unaachana nalo
4. Chama cha siasa kikipoteza sifa yake ya Msingi- unaachana nacho, kwa nini unaendelea kubakia huko

Kwa hiyo unamshauri mzee msekwa ahame ccm?
 
kaptura kaptura lini nitavaa suruali ndefu nifaaidi keki ya taifa?
 
Mzee msekwa kaisha yupo kama kubenea tu mda wote kuwanza shanga na kuhangaika na mambo yasiyo ya msingi.

Omba sana kwa Mungu uzee mwema, mzazi unawezaje kumnanga mwanao hadharani kuwa ni Kibaka? wakati malezi wewe kama baba umeshindwa? kwani JK na Msekwa nani baba wa CCM? hawa wazee wasikwepe jukumu, na wala CCM sio mbaya kivile ile kuna marekebisho flani ambayo wao kama wakongwe wanapaswa kushauli new generation, ninaweza kumshangaa sana mzee Mtei kama atainanga CDM wakati yeye yupo
 
Na sifa yake nyengine ambayo hakuisema ni chama KISICHOAMBILIKA na wanachama wake hawapendi KUKOSOLEWA.
 
Mipasho time ccm bana yaani hukurupuka tu lowassa kawambiwa nendini mahakamani na mhusika mkuuu wa ufisadi kamtaja kikwete kaakaa kimyaaa nyie mnatumbuka mimacho tu

Hapo ndipo UKAWA kawamaliza LOWASA mlikuwa mkiimwita fisadi mkamweka hadi kwenye list of shame kama fisadi papa.Amekuja akawapa tuition kuwa mumwite fisadi mtu aliyehukumiwa na mahaka mkasema sawa mzee.Sasa midomo amewafunga ole wenu mumwite Chenge AU mtu yeyote fisadi wakati hajahukumiwa na mahakama.Sasa hivi mumeufyata kawafyatisha Lowasa na ndio maana alikuja kwenu akijua nyie wababaishaji.CCM tunamjua fisadi bunge lilimhukumu,serikali ikampiga chini uwaziri mkuu na CCM ikakatilia mbali jina lake.

Ninyi hamheshimu maamuzi ya muhimili wa bunge ambamo na akina Mbowe WAMO uliOtoA ripoti kuwa huyo ni kibaka wa Richmond mnataka ahukumiweje? Mumechemka mumewaangusha wananchi sasa hivi neno ufisadi kwenu gumu kutamka CCM tu ndio inaweza tamka kwa ujasiri.Sasa hivi majipu ya mafisadi yanatumbuliwa
 
alichesema ni ukweli lakini na yeye asijiweke pembeni kwani pamoja na kushika nafasi za juu za chama alifanya nini kuwatetea wanyonge ndani ya chama zaidi ya kujinufaisha kupitia uenyekiti wa bodi ya TANAPA na VODACOM
 
Kingine alichosahau si tu wafanyabiashara kujipenyeza kwenye vikao vya CCM kuliharibu chama lakini pia viongozi waliokuwa wa juu kama yeye kujipenyeza kwenye vikao vya bodi vya wafanyabiashara kama Vodacom AMBAKO YEYE ALIKUWA board member.Kujipenyeza huko kwa viongozi wa juu kama yeye kuliwapa GO ahead WAFANYABIASHARA NAO KUJIPENYEZA VIKAO VYA CCM kwa sababu ya hiyo kukaibuka UNHOLY ALLIANCE kati ya viongozi wa juu wa CCM na Wafanyabiashara wakubwa kwa pamoja wakaitengeneza CCM isiyojali wanyonge.

Msekwa kachangia hiyo hali
Mkishakosa hoja mnakuwa watusi na kutafuta wahanga kuwasulubu mpaka na matusi ya nguoni
L
"Tumbili wakikosa miti huingia mwilini"
 
Mzee msekwa kaisha yupo kama kubenea tu mda wote kuwanza shanga na kuhangaika na mambo yasiyo ya msingi.
Hawamshindi Yule Mzee Wa NGADA / MSUBA Na GOMBA!!!! Nadhani Yule Ameona Wanapata Tabu Kujifichaficha!!! BORA Wale Tu Vitu Vyao Bar!!!!!
 
mtu anatukana kivuli chake kuwa kibaya wakati kinamwakisi yeye mwenyewe

Yaani hawa wazee akina Msekwa na akina Kingunge hawajaitendea CCM kabisa.Walipokea chama cha CCM kikiwa safi mno na kinachojali wanyonge toka kwa Mwalimu NYERERE.Wao wakaua Azimio la ARUSHA wakaanza kukumbatia mabepari na wanasiasa mabepari mfano Kingunge akaanza kukumbatia Lowasa,Msekwa AKAANZA kukumbatia ma vodacom.Wakaanza kuwa karibu na wenye nacho na kuwatupilia mbali wasio kuwa nacho.

Chama karibu kiwafie mikononi mwao hao wazee leo wanakabidhi chama kikiwa kimechoka eti wanakiandikia kitabu na kale kazee kengine kasiko kuwa na haya Ka KINGUNGE kakakawa kanazurura kanaongea eti CCM imeishiwa pumzi.Wao ilikuwa wahakikishe chama kinakuwa imara wanakabidhi kizazi kingine kikiwa safi na imara kama wao walivyokabidhiwa kikiwa safi na Imara.

Anyway we will fight to make sure that CCM returns to its former glory without them
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom