Mawaziri wa rais Magufuli wafutika kiaina!

Wanaruka ruka tu ka minyumbu ya Serengeti hakuna wanachokifanya. Mimi naishangaa sana hii ya tano, sion vision, sion strategy.. Naona misaragambo huyu kaibuka na huku kutwaa kufukuzana kazi za msingi hakuna..
Tatizo lako akili zako hazikutumi kusoma, Nenda kwenye ilani ya CCM utaona vyote hivyoo
 
Magufili ni Rais pia ni Waziri wa kila Wizara!!Sijapata ona serikali inayo endeshwa kiajabu kama hii yetu!

Head of the State kachukua madaraka yoye toka kuwa mchumi na kiongozi wa bodi za kupanga mishahara ya watumishi kulingana na inflation hadi kuwa Chief Justice kuwafunga wasio na kazi hadi kuwa Waziri Mambo ya ndani kukamata wacheza bao hadi kuwa waziri wa Fedha kukagua bandarini na mengineyo mengi!
Haina shida, hapo anataka nchi anayoiongoza iweje kwa maana anatafuta misingi kwanza mbele ya safari hatakuwa na shida mbele ya safari, ni suala la muda tu!!
Kwa Mawaziri, kazi bado ni mpya kwao wengi wao na pia Uongozi kutoka Ikulu ni mpya vilevile lazima uone mabadiliko.
 
Dukuduku moyoni, tulipotoka tunapajua, tuliko tunapajua, tunakoelekea ni giza totoro, ramani haisomeki, Mungu saidia
 
Wanaruka ruka tu ka minyumbu ya Serengeti hakuna wanachokifanya. Mimi naishangaa sana hii ya tano, sion vision, sion strategy.. Naona misaragambo huyu kaibuka na huku kutwaa kufukuzana kazi za msingi hakuna..
Utaonaje wakati huna macho
 
kulikua na mazoea ktk utawala wa awamu ya nne kwa baadhi ya mawaziri kuonekana kama mawaziri wenye utendaji uliotukuka kiasi kwamba kuna wakati ccm walipita kwa wananchi kuwanadi wakiwatumia kama mfano wa kuonyesha uhai wa serikali ya awamu ya nne awamu hii hali ni tofauti sana kwani hakuna yeyote anaeonekana kuchomoza akamzidi walau majaliwa ukiachilia mbali rais mwenyewe mawaziri wote chini ya magufuli wanaonekana wa kawaida sana unadhani tatizo lilikua udhaifu wa rais tulie kua nae wamepunguza utendaji changamoto zimepungua au wanafanya kazi ila wamezidiwa!?
Hata Ile shtukiza shtukiza, fukuza, Mara simamisha imepungua angalau wafanyakazi wanapumua .
 
Ukitaka kuwa mtendaji mzuri kwenye hii serikali inabidi uwe unafukuza kazi watu kuzidi rais wako ndo utaonekana,maana ndo kigezo kikuu cha utendaji,otherwise sijaona kigezo kingine
 
kulikua na mazoea ktk utawala wa awamu ya nne kwa baadhi ya mawaziri kuonekana kama mawaziri wenye utendaji uliotukuka kiasi kwamba kuna wakati ccm walipita kwa wananchi kuwanadi wakiwatumia kama mfano wa kuonyesha uhai wa serikali ya awamu ya nne awamu hii hali ni tofauti sana kwani hakuna yeyote anaeonekana kuchomoza akamzidi walau majaliwa ukiachilia mbali rais mwenyewe mawaziri wote chini ya magufuli wanaonekana wa kawaida sana unadhani tatizo lilikua udhaifu wa rais tulie kua nae wamepunguza utendaji changamoto zimepungua au wanafanya kazi ila wamezidiwa!?

Jamani huyu JPMJ mpeni japo mwaka . Tukimfanya kama Mungu mtu atashindwa malengo yake. Yeye kufanya mazuri ndio ilkuwa lengo
 
Zamu ya wakuu wa wilaya sasa, makonda kishachukua mkoa, sasa sifa zimehamia kwa mkuu wa wilaya ya iringa, sijui anaitwa nani yule, full sifa
Dc wa Iringa anapiga kazi,Apandishwe tu cheo,aletwe kinondoni
 
Wanaruka ruka tu ka minyumbu ya Serengeti hakuna wanachokifanya. Mimi naishangaa sana hii ya tano, sion vision, sion strategy.. Naona misaragambo huyu kaibuka na huku kutwaa kufukuzana kazi za msingi hakuna..
Nyumbu katika ubora wako
 
Magufili ni Rais pia ni Waziri wa kila Wizara!!Sijapata ona serikali inayo endeshwa kiajabu kama hii yetu!

Head of the State kachukua madaraka yoye toka kuwa mchumi na kiongozi wa bodi za kupanga mishahara ya watumishi kulingana na inflation hadi kuwa Chief Justice kuwafunga wasio na kazi hadi kuwa Waziri Mambo ya ndani kukamata wacheza bao hadi kuwa waziri wa Fedha kukagua bandarini na mengineyo mengi!

Mkuu mimi nilitaka nibakishe kidogo mwenzangu umemaliza na sasa sina cha kuchangia. Kwa mara yangu ya kwanza nasema hivi bora rais angekuwa Dr Kalokola, bora hata angekuwa Lowassa. Maana hali ya maisha ya watu wakawaida kabisa yanakuwa mabaya siku hadi siku.
 
Kapiga marufuku sukari za nje wkt Kyela 100% tulikuwa tunatumia sukari ya Malawi!Sasa wananchi wanalanguliwa sana na maisha yanazidi kuwa magumu

Then Rais anayefikiria kupunguza mishahara ya vijana wake hafai kurudishwa madarakani
 
Itakuwa wanafanya kazi kimya kimya....!tuone matokeo
 
Kapiga marufuku sukari za nje wkt Kyela 100% tulikuwa tunatumia sukari ya Malawi!Sasa wananchi wanalanguliwa sana na maisha yanazidi kuwa magumu

Then Rais anayefikiria kupunguza mishahara ya vijana wake hafai kurudishwa madarakani
Tumezoea maisha madili madili, sasa madili madili yamepotea!!
 
Back
Top Bottom