Mtazamo: Kuna bara moja huenda "human evolution" bado inaendelea

Mtazamo: Kuna bara moja huenda "human evolution" bado inaendelea

colonialism colonialism colonialism coloniasm,mimi naamini tusingeingiliwa na hawa wakoloni tungeweza kutumia resources zetu vyema zaid kuliko sasa na tungekuwa na mfumo wetu wa utawala bora kuliko hii demokrasia tuliorithishwa kilazima na hawa wakoloni.....
 
Kwani hayo mabara mengine yenye demokrasia na maendeleo ni mambo yapi ambao nao waliyapitia na walitumia miaka mingapi hadi leo hii kufikia na kuwa hivyo walivyo?
 
Nje kidogo ya mada: mafunzo ya dini yanatwambia kuwa Adam ndie mtu wa kwanza duniani, je Adam alikuwa sokwe (ape like)?
Adam na Eva walikuwa weupe, Yesu mweupe, Mtume Mohammed S.A.W mweupe. Ninaamini na Mungu tunyemwabudu kupitia makanisa na misikiti ni mweupe.
 
bara ambalo chama cha siasa chenye wanachama zaidi ya milion 3 maamuzi ya chama yanafanywa na mtu na mkwe wake, wengne mkipnga mawazo yao mwaitwa WASALITI. bara ambalo chama cha siasa kinaweza kumtangaza mtu kuwa ni fisadi kwa miaka zaidi ya 8, lkn kikaja kumsimamisha mtu huyohuyo fisadi kuja kugombea urais kuptia chama hicho na akapata kura zaidi ya milion 6, hahahaha only in tz, TATZO LA BARA HILI NI WANANCHI KURUHUSU WANASIASA KUSHIKA AKIRI ZETU, SASA HIYO DEMOKRASIA ITATOKA WAPI KAMA AKIRI YAKO UMEIKABIDHI KWA WANASIASA?
 
Mnajitukana wenyewe nyie ni waafrika wa ajabu kabisa .

Mauaji yanayofanywa na wazungu huko Syria,vita vilivyosababishwa na wazungu Libya,Syria,Iraq na sehemu mbalimbali na maelfu kufa,Marekani wanaua had I watoto ,Urusi anaua raia Syria ni makosa makubwa kuliko hayo kiduchu yanayofanywa na waafrika.
 
Watu weusi bado wamo katika hatua za human evolution, hawajakamilika.
Binadamu kamili ni mweupe.
Wengi hapa watatoa povu kwa ukweli huu.
tena aswaa wa tz ndio kabisaaa awajakamilika kuanzia ki ubongo mpaka kimwili
 
Tatizo sio brain evolution , bali ni uzoefu katika democracy. Remember practice makes perfect. Kama hujajua ubaya wa jambo huwezi kuliacha. Kwa hiyo, Afrika haijajua ubaya wa viongozi wao kukaa madarakani mda mrefu. Tumeshuhudia vita ya kwanza na ya pili ya dunia. Zote hizi zimetokea kwenye mabara yalioendelea . kwa hiyo the developed countries are already fed up with dictatorship now they are in the three Quarters of democracy while in Africa they are in the first quarters of democracy.
Hi ni sawa na mwanafunzi wa fomu 2 na mwana fuzi wa chuo kikuu mwaka wa kwaza. Afrika in mwanafunzi wa kidato cha pili na nchi zilizoendelea mwana funzi wa mwaka wa pili chuo kikuu. Swali, kati ya hao wanafunzi nani anauzoefu wa kujifunza ? Nani anauzoefu wa walimu wazuri au wabaya! Kwa hiyo, uzoefu ndio unaoamua aina gani ya maisha MTU aishi. Uzoefu wa kuongoza ndio unaoamua ni aina gani ya mfumo wa uongozi ufuatwe! Experience is the great teacher.
 
Natamani nijue jina la Hilo bara maana Inafanana Kama na baadhi ya nchi za Africa Tena ya mashariki.....
 
Tatizo sio brain evolution , bali ni uzoefu katika democracy. Remember practice makes perfect. Kama hujajua ubaya wa jambo huwezi kuliacha. Kwa hiyo, Afrika haijajua ubaya wa viongozi wao kukaa madarakani mda mrefu. Tumeshuhudia vita ya kwanza na ya pili ya dunia. Zote hizi zimetokea kwenye mabara yalioendelea . kwa hiyo the developed countries are already fed up with dictatorship now they are in the three Quarters of democracy while in Africa they are in the first quarters of democracy.
Hi ni sawa na mwanafunzi wa fomu 2 na mwana fuzi wa chuo kikuu mwaka wa kwaza. Afrika in mwanafunzi wa kidato cha pili na nchi zilizoendelea mwana funzi wa mwaka wa pili chuo kikuu. Swali, kati ya hao wanafunzi nani anauzoefu wa kujifunza ? Nani anauzoefu wa walimu wazuri au wabaya! Kwa hiyo, uzoefu ndio unaoamua aina gani ya maisha MTU aishi. Uzoefu wa kuongoza ndio unaoamua ni aina gani ya mfumo wa uongozi ufuatwe! Experience is the great teacher.
napingana na wewe, mtu mweusi ana matatizo ya akili ambayo ni inborn, jaribu kuangalia nchi kama Haiti, Jamaica ambazo hazipo Africa na zilipata uhuru miaka ya 1800s maisha ya kule na siasa za kule ni kama Africa tu, pia ukiangalia africa American wana vyoishi kwa kuuana, madawa ya kulevya, na ujambazi utaona kua watu weusi wana matatizo
 
Katika historia tumejifunza kitu kinachoitwa human evolution ambapo tunaambiwa binadamu wa leo(modern man) alitokana na viumbe fulani (apelike ancestors) ambao walibadilika na hatimae akapatikana binadamu wa sasa. Evolution imehusisha vitu vingi kuanzia maumbile na hata maendeleo ya ubongo wa binadamu kama vile size of brain, n.k.Kwa uelewa zaidi, Soma "introduction to human evolution".

Wataalamu wanatuambia evolution imekamilika ila mwenzenu baada ya kuangalia taarifa ya habari usiku huu katika chombo kimoja cha kimataifa na kushuhudia madudu ya kisiasa katika nchi kadhaa za bara fulani na namna watu wengi katika nchi hizo walivyo nikilinganisha na watu wa mabara wengine,nachelea kusema evolution(brain evolution) katika bara hilo bado inaendelea na labda vizazi vijavyo ndio vitakuja kuwa bora zaidi lakini sio kizazi kilichopo sasa.

Nimeangali taarifa hiyo ya habari nimeona jinsi maswala ya uchaguzi yanavyofanywa hovyo hovyo katika nchi moja huku kiongozi wa nchi nyingine nae akibadili katiba na cha ajabu zaidi kuna watu wengi tu wanakubaliana na mambo haya.Yaani watu wa hilo bara akili zao zimeshikwa na wanasiasa kiasi cha wao kutojitambua kabisa na kuendeshwa na wanasiasa hawa mithili ya gari bovu.

Nikajiuliza hivi katika mabara mengine mambo haya bado yapo kweli?Baada ya kutafakari sana,nikajikuta nafikia conclusion kuwa kuna mabara kama mawili hivi ambapo moja ndio likiwa kinara,huenda watu wake bado wana-undergo mental evolution tofauti na watu wa mabara mengine ambao hii process kwao ilishakamilika.

Bwana Salary slip
Napenda nizungumzie suala la evolution. Kwa kweli si kwamba katika mataifa mengine yaliyoendelea evolution imekamilika bali evolution inaendelea kwani inategemea mazingira. Iwapo mazingira yanabadilika basi badiliko lolote litakalotokea katika mwili wa mwanadamu na badiliko hilo likawafanya wale binadamu waliopata hayo mabadiliko waweze kuishi vyema katika mazingira mapya basi wale wote walio na vinasaba vyenye mabadiliko hayo wataishi na kuzaa na wengine watakufa kabla ya kuzaa. Ndivyo evolution inavyofanya kazi.

Kuhusiana na waafrika inawezekana una ukweli kidogo ingawa si wote. Kwa kuwa wanadamu wote asili yao ni afrika wanasayansi wamegundua kuwa kuna genetic variability pana zaidi kati ya Waafrika weusu wa Africa kuliko kati ya wanadamu wa sehemu nyingine duniani. Hivyo inawezekana waafrika wanazo pia archaic genes nyingi ndani ya miili yao na kuliko ilivyo kwa watu weupe wa nchi za Kaskazini (Waarabu, Wahindi, Wazungu, Wachina, n.k.). Hizi arcauc genes inawezekana zinaathiri sana uwezo wetu wa kufikiri vizuri. Ndiyo sababu nchi nyingi za Kaskazini ambazo miaka ya 1960 zilikuwa na kiwango cha maendeleo kilichokuwa sawa na nchi za kiafrika, zilikwisha piga hatua kubwa kimaendeleo kupita nchi zote za kiafrika.

Kuhusiana na maendeleo na demokrasia katika nchi za Afrika ni vyema kutambua kuwa nchi kama Tanzania au Uganda au Kenya ni mkusanyiko wa makabila yanayojiita Taifa. Ukweli ni kwamba hata neno Taifa halipaswi kutumika. Nchi hizi watu wake bado wamefungwa na minyororo ya kikabila kiasi kwamba makubaliano katika mambo mengi huwa magumu kwani makabila yao yanaongoza jinsi wanavyowaza. Kwa mfano kuna makabila yanayoona wizi wa mifugo si jambo baya. Mkiwa na majadiliano ya kukomesha vitendo vya wizi kama taifa makubaliano yenu hayawi na nguvu. Wengi wataona maamuzi hayafai kwani kwao wizi si jambo baya sana.

Ukichanganya na ukweli kuwa katika nchi kama Tanzania watu zaidi ya 80% hawana elimu ya sekondari na asilimia kubwa hawana hata elimu ya msingi, kuongelea denokrasia ni kupoteza muda. Demokrasia inakomaaa pale watu wengi wana elimu ya kutosha kiasi kwamba wanajua uchaguzi una maana gani na mtu hawezi kuwanunua kwa fedha au haezi kuwapa pombe nao wakamchagua. Elimu humpa mtu uhuru. Kuhusu hata wasomi nao kuonekana hawana tofauti na wasiosoma. Hii ni kwa kuwa wasomi wetu ni wachache sana hawajafikia critical mass na hivyo hawawezi kutoa matokeo ya kuonekana. Wasomi wa Tanzania kwa sasa wanajali kupata kipato zaidi na wataanya lolote ili kupata fedha hata kama vitendo vyao vinadhoofisha demokrasia.

Ninaamini, ingawa tu mkusanyiko wa vikabila, huko mbele tutakuwa taifa lenye mambo mamoja, kwani vikabila vitapotea na utawala utakaokuwepo utakuwa kweli utawala uliopatikana kihalali kama inavyotokea katika nchi zilizoendelea kiasi kwamba aliyeshindwa atakiri kushindwa. Atafanya hivyo kwa kuwa wote wataheshimu ukweli na uwazi na hawataruhusu mtu awaye yote afanye udanganyifu na ghiliba.
 
MIAFRIKA NDIVYO ILIVYO.... Na bado itadai yenyewe ndo ilianzisha dunia hii n.k itakwambia yenyewe ndo ilikuwa juu kisayansi na kuna jamaa jinga lingine limekuja na hoja Yesu alikuwa mweusi. unaniliuliza so what? hivi ni jambo gani jema la kusaidia dunia hii limeanzishwa afrika? hili bara letu linatia kichefuchefu na miviongozi yetu asilimia 90 ni michumia tumbo tumbo . wachache wana uchungu na maisha ya wananchi au maendeleo.

inaumiza sana. angalia nchi za afrika zinavyonywa na viongozi na watu toka nje. sisi tunabaki kulalamika tu kweli ni bora tutawaliwe tu ijulikane moja.
 
Katika historia tumejifunza kitu kinachoitwa human evolution ambapo tunaambiwa binadamu wa leo(modern man) alitokana na viumbe fulani (apelike ancestors) ambao walibadilika na hatimae akapatikana binadamu wa sasa. Evolution imehusisha vitu vingi kuanzia maumbile na hata maendeleo ya ubongo wa binadamu kama vile size of brain, n.k.Kwa uelewa zaidi, Soma "introduction to human evolution".

Wataalamu wanatuambia evolution imekamilika ila mwenzenu baada ya kuangalia taarifa ya habari usiku huu katika chombo kimoja cha kimataifa na kushuhudia madudu ya kisiasa katika nchi kadhaa za bara fulani na namna watu wengi katika nchi hizo walivyo nikilinganisha na watu wa mabara wengine,nachelea kusema evolution(brain evolution) katika bara hilo bado inaendelea na labda vizazi vijavyo ndio vitakuja kuwa bora zaidi lakini sio kizazi kilichopo sasa.

Nimeangali taarifa hiyo ya habari nimeona jinsi maswala ya uchaguzi yanavyofanywa hovyo hovyo katika nchi moja huku kiongozi wa nchi nyingine nae akibadili katiba na cha ajabu zaidi kuna watu wengi tu wanakubaliana na mambo haya.Yaani watu wa hilo bara akili zao zimeshikwa na wanasiasa kiasi cha wao kutojitambua kabisa na kuendeshwa na wanasiasa hawa mithili ya gari bovu.

Nikajiuliza hivi katika mabara mengine mambo haya bado yapo kweli?Baada ya kutafakari sana,nikajikuta nafikia conclusion kuwa kuna mabara kama mawili hivi ambapo moja ndio likiwa kinara,huenda watu wake bado wana-undergo mental evolution tofauti na watu wa mabara mengine ambao hii process kwao ilishakamilika.
Naunga mkono mada
 
Nje kidogo ya mada: mafunzo ya dini yanatwambia kuwa Adam ndie mtu wa kwanza duniani, je Adam alikuwa sokwe (ape like)?
Adamu si wa kwanza kuwepo,mwanae kaini alipomuua habili Mungu alim-outcast toka familia ya Adamu na akam-label usoni kwamba huko anakoenda mtu yeyote asimuue

Jiulize: hao waliolengwa wasimuue kwenye bluu
 
napingana na wewe, mtu mweusi ana matatizo ya akili ambayo ni inborn, jaribu kuangalia nchi kama Haiti, Jamaica ambazo hazipo Africa na zilipata uhuru miaka ya 1800s maisha ya kule na siasa za kule ni kama Africa tu, pia ukiangalia africa American wana vyoishi kwa kuuana, madawa ya kulevya, na ujambazi utaona kua watu weusi wana matatizo
That is generalization, wapo wafrika wameonesha mtazamo chanya na kuletea nchi zao maendeleo makubwa. Nitataja wachache, Marehemu, Mandera, Julius Kambarage Nyerere, Kwame Nkrumah just a few to mention. Unataka kusema hao akili zao zilikuwa zimeshaendelea? Au wao walikuwa na akili chotara kati ya mzungu na mwafrika? Elewa kuwa Elimu ya vitabuni nikitu kimoja wapo na kujua kitugani ni haki ya watu kwa wakati muafaka nikitu kingine. Walioko madarakani katika bara la Afrika baadhi yao kama siyo wote wamekosa kujua haki za watu wao kwa wakati muafaka. Hii inawezakuwa kwa makusudi au kwa kukosa Elimu Sahihi ya kutambua haki za wananchi wao. Kama waafrika wangekuwa na matatizo ya ubongo wasingeweza taaluma nyingine kwenye nchi za wenzetu. ( braindrained).
 
sijamaanisha kila mwafrica, nachomaanisha on average wa Africa uwezo wao wa kupambanua mambo na kukabiliana na matatizo ni mdogo
wala sio uzoefu kwenye democracy kama unavyodai, kuna nchi kama north Korea, China hazina huo uzoefu wa democracy unaousema ila wanaweza kujilisha na kujitegemea
 
Adamu si wa kwanza kuwepo,mwanae kaini alipomuua habili Mungu alim-outcast toka familia ya Adamu na akam-label usoni kwamba huko anakoenda mtu yeyote asimuue

Jiulize: hao waliolengwa wasimuue kwenye bluu
Mungu wa kwenye bible ni mungu wa wayahudi tu, sisi wengine tunamshobokea tu
 
Back
Top Bottom