Recent content by ranger one

  1. R

    JamiiForums Tanzania Elimu kwa mlipa kodi hakuna, TRA ni nguvu tu

    Duu sasa umehamia kodi ya mejengo penda kuuliza mkuu siyo kurukaruka kama maharage yaliyopo jikoni.Mimi ni mfatiliaji sana wa power breakfast Clouds na nilimsikia huyu Mkurugenzi Kayombo akitaja kuwa nyumba za kawaida ni 10,000 na kila gorofa ni 50,000 kama hilo gorofa mmiliki ni mmoja kama ni...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Elimu kwa mlipa kodi hakuna, TRA ni nguvu tu

    Mkuu mbona kampuni zinalipa 30% toka kwenye faida? Kwa wafanyabiashara wadogo waliopo kwenye wigo wa kulipa mbona tunajua huwa ni kwa awamu ya miezi mitatu kila baada ya kufanya biashara?Hebu saidia ushauri nini kifanyike
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wadau wa magari hivi hakuna namna ya kupunguza hii gharama ya TRA .

    mkuu hebu angalia isjje kuwa uchakavu imekukumba pia baada ya december mwaka umebadilika,
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wadau wa magari hivi hakuna namna ya kupunguza hii gharama ya TRA .

    Tatizo ninaloliona ni mfumo wa ukusanyaji mapato lazima uwe na kianzio cha chini na kuendelea, ndiyo maana hapa utaona kiwango kilichowekwa kimezidi kidogo bei uliyotoa kwenye mtandao.Bila kuwa na kianzio nadhani kila mtu atakuja na bei zake?Vipi yule ambaye sasa atasema kapewa bure inamaana...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Elimu kwa mlipa kodi hakuna, TRA ni nguvu tu

    Hili la elimu ni sisi wananchi wenyewe mimi ni shuhuda huwa naudhuria sana elimu zao tena huwa tunauliza sana maswali nakumbuka kuna baba mmoja alijitambulisha anatoka Makao Makuu alikuja na vijana wadogo sana mwanzo nikadhani wale vijana wapo wapo tu ila walipoanza tufundisha sikuamini...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Azam mmeamua kuendelea kutunyima haki yetu ya kupata Habari

    Kiukweli azam mnasikitisha mno.Mlianza vizuri ila kwa sasa mmekuwa kaama matapeli tu.Mtu unaweka 9,000 au zaidi lakini ile chanel yenu ya matangazo ya extra siku mkiamua weka bongo movie kweli bila aibu mnatuchaji 1,000 tena bila kujali kwamba tumekuwa tunalipia 9,000 au zaidi kipindi...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Mpango na TRA, huu ni Uhujumu Uchumi!

    Mleta mada napenda nikushauri kuwa katika shauri hili zipo njia mbali mbali za kuweza kukusaidia.Nimesoma presentation moja wapo ambayo nilihudhuria ya hao jamaa mamlaka ya mapato aka TRA kuwa ukiona wamekuonea ipo bodi ya rufaa na mpaka mahakama ya rufaa.nadhani fanya hivo ili wakati mwingine...
  8. R

    JamiiForums Tanzania TRA yasahihisha taarifa za makusanyo kama ilivyoripotiwa na ITV

    Mbona alichosemacwaziri naona sawa na Maelezo waliyotoa TRA.Mnyonge tumnyonge lakini haki take tumpe.Naona Mwandishi hakuweka vizuri maneno nimesikia vizuri ITV kuwa majengo ni 62% na siyo mapato
  9. R

    JamiiForums Tanzania TRA yasahihisha taarifa za makusanyo kama ilivyoripotiwa na ITV

    Naona ITV wameweka hotuba ya waziri kweli alisema kodi ya majengo mpaka sasa ni 62% ya mapato kwa kiwango TRA walichooewa miezi sits ni zaidi ya 80%
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu kodi ya majengo huu hapa

  11. R

    JamiiForums Tanzania TRA yasahihisha taarifa za makusanyo kama ilivyoripotiwa na ITV

    Kwa mini mkuu, siunaona chapisho hilo au
  12. R

    JamiiForums Tanzania TRA yasahihisha taarifa za makusanyo kama ilivyoripotiwa na ITV

    Nimeona chapisho la TRA wamekanusha taarifa ya ITV kuhusu taarifa ya Waziri wa fedha juu ya makusanyo
  13. R

    JamiiForums Tanzania TRA yasahihisha taarifa za makusanyo kama ilivyoripotiwa na ITV

    Nimeona chapisho la TRA wamekanusha taarifa ya ITV kuhusu taarifa ya Waziri wa fedha juu ya makusanyo
  14. R

    JamiiForums Tanzania Azam TV acheni hizi

    Azam TV mlipoanzisha TV tuliwaamini sana kuwa mgeweza let's mabadiliko na ushindani katika siko.Cha ajabu imekuwa tofauti na matarajio. Kuanzia being ya mwezi mlianza pandisha taratibu mkaona haitoshi , bando likiisha mkawa mnakata channel zote na kuacha ile ya extra na TBC tu.Yoote hayo ni...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ashatu Kijaji awaagiza TRA kumsimamisha kazi Daniel Kingu wa Dodoma

    Labda kwa ufahamu Mdogo tu TRA navyojua hakuna Mkurugenzi yupo Kamishna, pia kusema katibu mkuu au mawaziri wapo , mheshimiwa alichosema wafanye utathmini maana yake watizame sheria na kupeleka mapendekezo.Pia Naibu Waziri alichofanya siyo kosa kama kaanza tekeleza maagizo ya mh Raising sasa...
Back
Top Bottom