mob
JF-Expert Member
- Dec 4, 2009
- 2,262
- 1,360
Ila twende sawa TRA inatakiwa itoe elimu kwa walipa kodi jambo hili halifanyiki yani mtu anapewa elimu either akiwa ofisini kwao au wakati amekamatwa na hao TRA huo sio utaratibu ni kama kuvizia
Mkuu elimu mbona inatolewa kuna yule bwana Richard kayombo kila mara huwa anasema na kutoa elimu. Na wewe kwa kuwa umeanzisha biashara jaribu kuwatembelea wakupe elimu msiwe watu wa kulalama mara kwa mara
Sent from my iPhone using JamiiForums