Jay Milionea
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 1,185
- 154
Kuna mijitu inapinga tu bila kujua Waziri alikisema nini kuhusu makusanyo ya nusu mwaka wa fedha 2018/19. Alisema 62% ni yale makusanyo ya nusu ya mwaka wa fedha tajwa hapo juu na sio makusanyo ya kipindi chote. Wengine wanabwabwaja tuu dah. Haya nimewawekea na video hiyo hapo ya Waziri Mpango.