Recent content by ramswasso

  1. R

    JamiiForums Tanzania Tanga mbali lakini nitakuja hata kwa miguu

    Inatakiwa uwashukuru polisi mana watakua walikuokoa na mambo mengi ikiwemo kutomurudi huko ulikotoka means ungepoteza ajira yako washukuru polisi
  2. R

    JamiiForums Tanzania Marafiki wa Nape: Kwanini Nape hakutulia?

    Wise say umeona kama mm nape alitakiwa awasiliane na boss wake kabla ya yeye kupayuka
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Wewe ndio unamshawisha ama ww ndio umemshikia akili unataka afanye unachokitaka ama unataka afanye anachoona ni sahihi je asipofanya kama unavyotaka itakuaje?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kumiliki gari Tanzania kumegeuka kuwa ng'ombe wa serikali

    Gari ni ziada so ukiona gharama zimekushinda achana nalo tumia gari la mungu miguu yako inatosha wala haihitaji service wala mafuta
  5. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa faida walizopata walioshiriki kumkomoa Mh Lema

    Faida ziko nyingi moja kubwa vijana Arusha wamekua wanafanya kazi na si kufanya maandamano yasiyo na tija pili arusha vurugu zimekoma mana kiongozi wa vurugu hayupo na tatu wananchi wamepatabmuda wa kulijenga taifa kwa kufanya shughuli zao mana angekuwepo uraiani kila mara mikutano ya kuwatukana...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Walokole mnaoimba usiku mnene Mungu aliwaambia kuwa Yeye hapendi usingizi?

    Hajasema kesheni mkiwapigia wengine makelele kuomba nibtofauti na makelele wanayofanya walokole huwa ni kero sana kwa wengine kitu ambacho hata mwenyezi mungu hapendi ibada yako isiwe tabu kwa wengine
  7. R

    JamiiForums Tanzania Pesa anazogawa Rais Magufuli kama njugu anazipata wapi? Nani kaziidhinisha?

    Hamnaga dogo jakaya alifanya zaidi ya hivi alikua anawapa mpaka bajaj walemavu mbona hamkuponda sasa yeye kumpa mlemavu milion moja ya mtaji mnauliza amezitoa wapi nyie ndio wale wale makonda kaja na wauza unga mmegeuka na kuanza kuwatetea hamueleweki mnataka kipi akifanya shida asipofanya shida duh
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Vedasto Ngombale (CUF) ''ahenyeshwa" na Magufuli Somanga

    MBUNGE ALIULIZWA HELA ZA MFUKO WA JIMBO ANAPELEKA WAPI AKAKOSA MAJIBU SASA MNATAKA RAIS AFANYE NN ZAIDI YA KUWAELEZA WANANCHI UKWELI MNACHAGUA WABUNGE VIHIYO MNAMLAUMU RAIS MAENDELEO YASIPOKUJA
  9. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Huyu mchungaji ni mnafiki na mchonganishi hatofanikiwa ila kwa wajinga wenzie tu hana maana katika jamii kiongozi unakua na element za umbea umbea
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ugomvi ndani ya nyumba unaweza kufanya ujinyonge?

    Siwezi jinyonga
  11. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ndugu zangu, nina diploma ya Nursing

    Usijali utapata tu kazi
Back
Top Bottom