Ugomvi ndani ya nyumba unaweza kufanya ujinyonge?

There are many stressful situations at work, at home, on the road and in public places. We may feel stress because of poor communication, kwamba mtu anakubali kufa na lake moyoni dah which is very bad, all in all stress zinazoletwa na mahusiano hasa mwanamke anapokudharau ndani ya nyumba seriously utaomba dunia ipasuke uingie ndani, kuna mjomba wangu aliwahi kupiga mke wake mpaka akazimia siku tatu, kwa harakaharaka akadhani ameua naye akaamua kujitundika mtini! sema yote hapa, jadili yote hapa ila usiombe yakukute aisee!
 
Manji 2015 alisapoti ukawa ndo maana anaandamwa lakini pia kinachomkera Mkuu ni zile m700 zilizokamatwa Dom wakati wa kumpata mgombea wa ccm wanadai wajuvi wa mambo zilkuwa zinaenda kummaliza magufuli
Hahahahahahahaha
kuliko kufa kizembe kwa kujinyonga bora kiwa na michepuko wa 5 wakuchune, wakutie ufukara alafu wakumalize kwa ngoma. sio mtu mmoja akufanye u r.i.p
 
unajinyonga sbb ya mke huku ukijua ukifa wewe yeye ndo anapatA uhuru anaoutaka wa mume mwenza kuhamia kwako tukishakuzika?!!!sifanyi ujinga huo bora niwe mzima niende zangu nimuachie kila kitu
 
Ingekuwa hivyo hakuna ndoa ambayo ingesalimika mana katika ndoa ugomvi ni kitu kisicho kwepeka hata iweje lazima itatokea siku mtapishana tu.

Hivyo inategemea huo ugomvi wameuchukuliaje hao waliojinyonga itakuwa wameona ni kitu cha ajabu sana au ndio tuseme ugomvi wao usingeweza kutatulika labda.
 
Wapi huko mkuu? Unaweza ukawehuka kwa maneno ya hawa viumbe. Kwangu hapa alilianzisha asubuhi hii, vimaneno vya ajabu ajabu. Ilibidi niwe matumla mdogo kurudisha heshima. Majuzi tu alitembelewa na mama yake, walikaa 10hrs,baadaye nikaona amebadilika ghafla. Nimetoka,nitarudi usiku.
hahahaaaa!!! hujamng'oa meno kweli?
 
Back
Top Bottom