Recent content by ramsoshare

  1. ramsoshare

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana msichana akaacha tabia ya kusagana?

    Maana lesbian n zombie[emoji23] [emoji23] [emoji23]
  2. ramsoshare

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti Kapandisha Mapepo Gheto

    Mbona hujatuambia alivyotulia alikwambiaje?
  3. ramsoshare

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeolewa ila nimefall kwa jamaa

    Jiheshimu na cyo kila kitu ni cha kujaribu..vingine n sumu ukijaribu itakudhuru..simama imara kulinda heshima yako na ndoa yako.
  4. ramsoshare

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpangaji aliyehamia anaanika chupi zake nje ananitesa

    chupi zinazua mambo jamani
  5. ramsoshare

    JamiiForums Tanzania Mrejesho ajali ya coaster Tanga

    So sorry Allah awaafu
  6. ramsoshare

    JamiiForums Tanzania Vifo vya wanafunzi 32: Mh Rais atuma salamu za rambirambi kwa RC Gambo

    Kwani wanashindana
  7. ramsoshare

    JamiiForums Tanzania Sakata la Kagera: Simba SC tutatumia Dola Elfu 15 kuipeleka barua FIFA

    Lakini simba 300k tu ya rufaa tff hamkulipa, je hiyo dola 15k mtaitoa wapi?
  8. ramsoshare

    JamiiForums Tanzania TANZIA: MwanaJF Slim5 amefiwa na baba yake mzazi

    RIP guy
  9. ramsoshare

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa wanaume: Oa mwanamke mwenye mtoto ikiwa tu una uhakika baba wa mtoto amekufa

    "Oeni wanawake wenye watoto ikiwa tu una mna uhakika kua baba wa mtoto amekufa na ikikwezekana utembelee kaburi lake kuhakikisha." Hii ya kuhakikisha mpk makaburi, too much jamani.
  10. ramsoshare

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single parents: Umepata mwenza anaekupa masharti mtoto wako asifike nyumbani kwenu utafanyaje?

    Kidume kilitaka kuteleza...mtoto hana makosa amekuja duniani kwa vurugu za watu wengine.
  11. ramsoshare

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swala la wanaume kuwapiga wanawake; nini mbadala wake?

    Mwanamke ni kuishi naye kwa akili...na inapendeza ikiwa mnapendana kwa moyo wa dhati...
  12. ramsoshare

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimekuta vitu vya mwanaume chumbani kwa mpenzi wangu

    Cool down, jitathmini kisha jipange upya...hakuna safari iliyokosa kituo...
  13. ramsoshare

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Munich nyoko kwa kweli...Leo tena maumivu...kanji c wa kispotspot
  14. ramsoshare

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matumizi madogo madogo kwa mpenzi wako

    Jukumu la mwanaume, maana ya kuwa naye n pamoja na kumtimizia mahitaji hayo.
Back
Top Bottom