Recent content by Ramakism

  1. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujiponya maumivu kwa nguvu ya ubongo (Subconscious Mind) By Rakims

    Ntasoma tena ili nielewe Ubarikiwe wewe Kwa kupenda kutulisha elimu tuliyoikosa Asante
  2. R

    JamiiForums Tanzania Uchama unaua Utaifa

    Maisha ndani ya chama yanakutaka utumikie chama kwanza then utumikie wananchi Huwez kutumikia ukoo kama familia yako imekushinda Wanasiasa wanatenda kaz Kwa itikadi za chama ili ziwanufaishe wananchi, but kutetea maslahi ya chama Kwa faida Za chama mbele ya taifa si sahihi Uzalendo unajengwa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mgawanyo wa Kanda za CHADEMA umeleta mafanikio ya ajabu

    Kweli chadema inakuwa lakn nasikitika sisikii kanda ya kusini wala harakati za kichama hazifanyiki mkijua watu wa kusini wanatka ukomboz hususani kwenye gesi, e chadema look also kusini Ktk matembez yangu huko Kwa muda niliona watu wanaikubali chadema japo bado hakina mizizi huko pia harakat Za...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Kama huna roho ngumu usifungue hapa

    Kweli sweet dreams
  5. R

    JamiiForums Tanzania Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

    Umeiona yangu bro rakims?
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Kuna moja inaitwa Faith Ni nzuri Kwan inadithi juu ya ushamba enzi hizo za 80 na 90
  7. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Tembea ulitafute kama unania
  8. R

    JamiiForums Tanzania Wote wanao chat muda huu wamejawa na upweke

    Kuna baridi inayovutia usingizi Kwa wale WALIO SUBSCRIBED
  9. R

    JamiiForums Tanzania Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    Pengo alianza kutofatiana na wenzake ndani ya.baraza hakuwa na aibu akatoa waraka wake juu ya katiba, pia now baada ya baraza tena kukaa na kuonyesha nia ya kuwatetea wananchi ten a waamin wake anaujua wanapotea kila cku Kwa migongano na kukosa maadili mema ya viongoz na mapadre anadiriki tena...
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Now tafuta moja matata ya lobbyist Utakutana na Harry Kim , maria yoo, pamoja na madam chae bila kusahau James Lee wazee wa lobbying and dead weapons deals dealing in international politics
  11. R

    JamiiForums Tanzania Sasa najiunga na ACT Tanzania

    Hahahahahahhahahahahahah Hahahahahahhahahahahahah Hahahahahahhahahahahahah Jr
  12. R

    JamiiForums Tanzania Sasa najiunga na ACT Tanzania

    Kama uaminifu kaz utawezaji kumwamin huyo zito wako panua uwanja wako wa kufikir siasa ktk dunia ibaki ktk kuamin maneno ya mtu wala matendo yake bali the true identity inside of his thoughts, and actions, pia outside ya yale anayofanya na kutenda mbele yenu. Unafsi unasomwa in the way you...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Sasa najiunga na ACT Tanzania

    Na wanaomfuata hawajui kama wanatumika Rafiki wa kike.as zito.aliyekuwa.akipokea.pesa.kutoka benk Za tz kisha kumtumia zito, zito na wajanja wenzie waliotaka kuiteka bavicha awali kabla ya matokeo kufutwa wakizisambaza fedha through mpesa Kwa viongoz wa wilaya matawi na mikoa ili wamsapoti zito...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Sasa najiunga na ACT Tanzania

    Simple answer Jr kakuambia si mnyenyekevu so hawez kunyenyekea anapokosa jhakubali changamoto ndio maana anabaki ktk wingu la fikra zake tu Si muungwana maana muungwana ni vitendo hayo ya leo huko act tuliyajua kabla hata alipoulizwa alikuwa akikataa but leo anaongoza jahaz linalotegemea upepo...
Back
Top Bottom