Recent content by rama mjusi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kikwete yuko New York Marekani

    Acha wivu ndugu kwani umemkatia tiketi wewe mpaka ulalame acha ale jashi lake lile agizo la rais linawahusu watumishi wa umma mzee jiongeze!
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kofia inayomlinda Kikwete ni Uenyekiti wa chama

    Wivu tu unawasumbua muacheni jmk apumzike kalifanyia taifa hili mambo makubwa sana kama binadamu naye ana mapungufu yake hata mleta hoja pia unayo mapungufu yako
  3. R

    JamiiForums Tanzania Diva hajitambui

    Wimbo wa taifa ni hoja muhimu ndio utambulisho wa mtz nakukumbusha tu kama haujui
  4. R

    JamiiForums Tanzania Diva hajitambui

    Nakuunga mkono aisee hasa hapo kwenye single mother na akijiona kafanikiwa kubadilisha mboga ndio inakuwa tabu zaidi
  5. R

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mkurugenzi wa TAKUKURU, Dkt. Hosea kutema cheche

    Hana utamu tena huyo kasha chelewa
  6. R

    JamiiForums Tanzania Diamond alamba milioni 50 kutoka kwa Dr. Mwaka

    Ila unawivu !
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kanikataa, je nimchomee kuwa ana vyeti feki?

    Wewe ni jipu unahitaji kutumbuliwa na subiri mawaziri wameshatangazwa utatumbuliwa saa yoyote
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Slaa anapumzika, msiwe na hofu

    Hili la mbowe nalo ni jipu nimecheka sana leo siku yangu ilikuwa mbovu lakini angalau kwakucheka huku imekuwa nafuu yangu tena alisema katokea dirishani na treni haiwezi kumsubiriu
  9. R

    JamiiForums Tanzania Hatudanganyiki, huyu mfanyabiashara alikuchangia mapesa Magufuli

    Sasa wewe dialo siunge nyoosha mkono siku ile alipouliza unakuja kuleta unafiki huku jf acha ulofa hapa kazi
  10. R

    JamiiForums Tanzania Je TB Joshua alikuwa amefunguliwa na Mungu kwenye Ulimwengu wa kiroho kuhusu yanayotokea nchini?

    Usihangaike na manabii wa uwongo utume ulisha koma kwa muhamadi s.a.w wamebaki washirikina tu na miujiza ya shetani
  11. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    [/color=blue]..ualimu kazi[/color]?vichwa vigumu tembeza bakora
  12. R

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    [color=red] uwii[color]
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mgogoro Zanzibar na watuhumiwa wa makosa ya mtandaoni kuikosesha Tanzania Tril.1.2 za MCC

    Watu wanapenda mteremko mzee hawawezi kukuelewa unachomaanisha wengine bado kula kulala sasa ukiwaambia kujitegemea unakuwa msamiati mgumu kwao kumbe inawezekana kabisa ardhi yenye rutuba, madini, bandari,maliasili na utalii n.k ni sehemu tu ya sababu ya tz kujitegemea
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mgogoro Zanzibar na watuhumiwa wa makosa ya mtandaoni kuikosesha Tanzania Tril.1.2 za MCC

    Ni kweli mkuu tena magufuli kwa spidi hii hatishiwi nyau anataka tz ndiyo iwape watu misaada sababu tunayo na uwezo tunao na rasilimali tunazo na zimeshapata msimamizi hapa kazi tu
Back
Top Bottom