General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,055
Wakuu habari za asubui!!
Baada ya kutafakari kwa siku zote, nimegundua Magufuli mwenyewe kachoka na miozo aliyoifanya mtangulizi wake.
Mambo mengi Rais magufuli anashindwa kuifanya kwa sababu ya mtangulizi wake.
Baraza la Magufuli sio hili, sema linetokana na shinikizo la chama.
Magufuli hashindwi kumchukulia hatua, sema uenyekiti wa chama ndio unambana.
Siku ambayo tutaona makucha ya magufuli ni pale atakapo kuwa mwebyekiti wa chama, na hapa biashara na Kikwete itakwisha. 2017 sio mbali.
Ila najua yote haya yatakwishaa baada ya Kikwete