Recent content by Rama Amiry

  1. Rama Amiry

    Waliowahi kufundishwa na Rais Magufuli enzi za kufundisha kwake

    Kuna mwalimu ( madam flani hivi.jina nilihifazi..)alikua anatufundisha agriculture pale nyamp..s/s. Aliwahi kutuhadithia kabla hajahamishwa kuja shulen kwetu before walikuwa na jiwe wakifundisha nae pale sengerema sec..jiwe alikua akifundisha chemistry form 5. Alikua ni mkari balaa..ila tatzo...
  2. Rama Amiry

    Tujikumbushe Mfalme Nimrod wa mnara wa Babeli

    Nimejifunza jambo..
  3. Rama Amiry

    Wanaume tuwafanye hivi wanawake wasiokua na mapenzi ya dhati

    Hiyo ni kumfundisha yeye na wingine wenye tabia kama yake...unajua inauma sanaa.... hii ni kuwapa somo kua mwanaume sio mlezi bali ni baba wa familia.
  4. Rama Amiry

    Wanaume tuwafanye hivi wanawake wasiokua na mapenzi ya dhati

    Habarii wadaw... Inawahusu wanaume.. Kama msichana atakutupa kwa sababu huna pesa, na baadaye unapopata pesa akarudi tena kuomba msamaha,,, ndugu yangu msamehe, mpe ahadi ya ndoa, mwambie utamuoa, iambie familia yake unataka kufanya ukarabati wa nyumba yao, Ondoa paa lote la nyumba yao halafu...
  5. Rama Amiry

    T.O aoa:Huyu ndio mke wa T.O Form 6 mwaka 2012

    Kiyombo ni T O wa mwaka gani.. maana alidisco. Then nikakutana nae darasa moja petroleum engineering pale udsm class of 2013/17
  6. Rama Amiry

    Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya

    Yaan inaonekana kabisa ni planned event.. sijui nnchi inaelekea wap.? Big Shame
  7. Rama Amiry

    Is Mpemba effect oppose the Newton law of cooling?

    Typing error. .hope nimeeleweka
  8. Rama Amiry

    Is Mpemba effect oppose the Newton law of cooling?

    Habari wana jamvi wataalam wa mambo ya physics nipeni upembuzi juu ya hili...[emoji432] ‘Newton’s law of cooling’ (kanuni ya upoaji). Kanuni hiyo inaeleza kuwa, kiasi cha joto cha kitu fulani kinachopotezwa katika muda fulani, kinategemea na utofauti wa joto ridi kati ya hicho kitu na...
  9. Rama Amiry

    Serikali walitudanganya juu ya taaluma ya mafuta na gesi (petroleum)

    Natumai mu-buheri wa afya wana JF. Msaada tafadhali. Malalamiko kutoka kwa wanataaluma wa oil na gesi Tanzania. - Serikali imewalagai sana wananchi wake baada ya uvumbuzi wa oil na gesi asilia katika maeneo ya mtwala, kilwa n.k. kuwa ni mkombozi wa uchumi wa taifa Cha ajabu zaidi kuna...
  10. Rama Amiry

    Mwanamke kutokwa na mkojo wakati wa tendo la ndoa

    Shortly after female sexial orgasm all reproductive muscles relax. Including urinary -bladder sphincter muscular fibres that leads to the leakage of urine.. Ushauri ni bora kukojoa kabla ya tendo la ndoa
  11. Rama Amiry

    Je umewahi kufikiri unanufaika vipi na Gasi asilia ya Mnazi bay- Mtwara!!

    Mimi nasubilia huo utajiri waTz wanao unadi kila kukicha
  12. Rama Amiry

    Usambazaji wa gesi Majumbani kuanza kesho jijini Dar gharama ikiwa Tsh. 200,000 - Milioni 1! Mitungi ya gesi kushuka bei

    Gasi asilia( natural gas (mainly methane)) ni gasi inayotumika sawa na gasi tunayo itumia asaivi kwenye mitungi yetu majumbani tunaiita petroleum gas..au proceed gas( mainly propane). utofauti ni hivi.. NATURAL GAS *1 . ni nyepesi kuliko hewa hivyo ikitokea leakage hupotea hewani haraka hivyo...
Back
Top Bottom