Rama Amiry
Member
- Aug 29, 2016
- 39
- 64
Habari wana jamvi
wataalam wa mambo ya physics nipeni upembuzi juu ya hili...[emoji432]
‘Newton’s law of cooling’ (kanuni ya upoaji).
Kanuni hiyo inaeleza kuwa, kiasi cha joto cha kitu fulani kinachopotezwa katika muda fulani, kinategemea na utofauti wa joto ridi kati ya hicho kitu na mazingira yaliyokizunguka kitu hicho kitu, endapo tu kama utofauti wa joto ridi lao ni dogo.
Kwa kanuni hii ya Newton, watu wote waliosoma fizikia duniani kote, walilazimishwa kuamini kuwa kitu chenye joto dogo kitapoteza joto lake kwa haraka zaidi kuliko kile chenye joto la juu.
Mwaka 1963, Mtanzania aitwaye Erasto Mpemba alifanikiwa kufanya ugunduzi ambao moja kwa moja uliweza kupingana na ile kanuni ya Newton.
Mpemba alibaini kuwa, maji yaliyochemka yakiwekwa kwenye jokofu pamoja na maji yenye ubaridi wa kawaida, yale yaliyochemka yanaganda haraka zaidi na kuwa barafu kuliko yale yenye ubaridi wa kawaida.
Nalitandika jamvi langu kibarazani..karibuni