Je umewahi kufikiri unanufaika vipi na Gasi asilia ya Mnazi bay- Mtwara!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je umewahi kufikiri unanufaika vipi na Gasi asilia ya Mnazi bay- Mtwara!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kingamkono, Jun 21, 2012.

 1. K

  Kingamkono Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wasaalam Wana jamii!!
  Jamani labda mi si elewi naomba kupata ufafanuzi kwa wanajamii forums,
  Katika pita pita zangu kwenye mtandao nimefanikiwa kuona taarifa ya upembuzi yakinifu ya mradi wa upanuzi wa bomba la gesi kutoka Mnazi bay – Lindi kwenda Tanga na Mombasa/Kenya, nikiwa nafuatilia zaidi taarifa hii imeonyesha kwamba gesi hii inauwezo wa kusambazwa na kutosheleza mahitaji ya ndani ya nchi (umeme, matumizi ya nyumbani, mitambo, magari n.k) pamoja na nje ya nchi yani Afrika – Mashariki.
  Tatizo langu.1. Kwa nini gharama za gesi Tanzania ziko juu kiasi hiki?
  2. Ni kwanini sasa gesi asilia ambayo tunayotumia majumbani kwa kiwango kikubwa inatoka nnje ya nchi na isiwe hii ambayo ni ya kwetu hapa Mtwara?
  3. Ni kwa nini upanuzi huu unaelekwezwa nje ya nchi hata kabla sisi wazawa hatujaona/hatujaguswa na hii rasilimali yetu tuliyopewa na Mungu.!
  Narudia tena : Naomba msaada labda mimi ndiye si elewi!!
   
 2. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Habari ya ugunduzi wa gesi Tanzania imetawala vyombo vingi vya habari duniani kote mwezi huu. Hapa Marekani habari kuu kuhusu bishara za kimataifa wiki hii ilikuwa ni juu ya ugunduzi wa gesi Tanzania. Unaweza ku google " Gas and and oil discovery in Tanzania" utakutana na magazeti mengi duniani yakiongelea ugunduzi huo.

  Kampuni ya Norway imegundua jumla ya cubic mita trillion 28 katika maeneo ya Lindi na Mtwara. Hadi wachambuzi wa maswala ya kiuchumi wanashangaa iwapo Tanzania iko Tayari kuupokea mfumuko mkubwa wa namna hii wa utajiri! Utajiri wa Tanzania kwa sasa ni zaidi ya ule wa Saud Arabia.

  Lakini nionavyo mimi: Iwapo madini hayakuwanufaisha wananchi, hata gesi haitawanufaisha!! Tanzania inahitaji kwanza siasa safi na uongozi bora!!
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Huna Simile? Yaani ndiyo hilo pipeline limefika Dar Umeshaanza kuuliza Manufaa... Tulia Ndugu Mtanganyika...

  Haraka Haraka Haina Baraka... Mipango ipo na itafika hadi Majumbani, kuna nyumba ambazo zimeshatengwa zitakuwa

  za Majaribio.
   
Loading...