Recent content by ram ismail

  1. ram ismail

    JamiiForums Tanzania Demu kutoka shamba.

    na whats app je? hyo natumiaga na chumvi kwa mbaaaali......
  2. ram ismail

    JamiiForums Tanzania Jamaa usiku kucha anajamba ovyo

    put t in a dustbin
  3. ram ismail

    JamiiForums Tanzania bank za tanzania acheni kutudhalilisha wateja

    uvivu wa chenji,,, huwez ukatoa elf 10 kwa kalamu ya mia 2
  4. ram ismail

    JamiiForums Tanzania Nahitaji dictionary hii

    umepata mkuu?
  5. ram ismail

    JamiiForums Tanzania Naomba wahusika wa bodi ya mikopo ya wanafunzi elimu ya juu mnisaidie hili

    mimi ni mwanachuo wa University, nathibitisha wanayoyasema wenzangu ni kwel kabisa, mimi ni wa transfer na ni muhanga wa hzo siku 60, mpaka leo ni zaid ya siku 100 hatujapata kitu, juzi ndo tumeambiwa majina yetu yanashughulikiwa hvyo tusubir baada ya wiki mbili,,sijui rais Magufuli analifahamu...
  6. ram ismail

    JamiiForums Tanzania Tangazo unalolipenda

    nlilipenda lile tangazo la mangi,, NDORRRRROOBO WEWE,,
  7. ram ismail

    JamiiForums Tanzania Wazo la leo wakuu!!!

    hao ni ndugu wa maji( siyo wa damu).,,dada yao ni jion njema.
  8. ram ismail

    JamiiForums Tanzania Nahitaji dictionary hii

    www.bookzz.org
  9. ram ismail

    JamiiForums Tanzania Dalili Kuu za Mlevi

    akitembea anaenda hatua mbili mbele, tatu nyuma......
  10. ram ismail

    JamiiForums Tanzania bank za tanzania acheni kutudhalilisha wateja

    ndo mana mi huwa naenda na wembe benki,,,mda ambao joto limejaa mjini, mi nakula kiyoyozi tu, mwisho wembe wangu unafanya kaz kwenye kamba ya peni
  11. ram ismail

    JamiiForums Tanzania Magufuli aondolewa kwenye group la whatsapp la marais wa Afrika Mashariki

    wa tz tufikie wakati tuache unafiki, sisi ndo tulikuwa wakwanza kumlalamikia mungu atupe kiongoz mchapakaz, leo hi ndo wa kwanza kulaumu,,kama ulitegemea maguful akiingia madarakan atakutetea we uliyejenga mabonden na sehemu zisizoruhusiwa hlo sahau,, HAPA KAZ TU, hakuna kuchat mtandaoni wakati...
  12. ram ismail

    JamiiForums Tanzania Umbea nouma..

    wewe mi so MBEYA wala mbea mi MLUGURU
  13. ram ismail

    JamiiForums Tanzania Kubadili jina chuoni, TCU na Loan board

    Nashkuru Sana Mkuu,, Herera
  14. ram ismail

    JamiiForums Tanzania Kubadili jina chuoni, TCU na Loan board

    nashkuru sana Ze Heby
  15. ram ismail

    JamiiForums Tanzania Kubadili jina chuoni, TCU na Loan board

    Habari za asubuhi wakuu, niko chuo kikuu mwaka wa kwanza, sasa nataka nibadili jina langu ninalotumia chuoni, Je itawezekana? na je, kutakuwa na madhara yeyote TCU na HESLB kwenye boom langu? Naombeni ushauri jamani. USHAURI WAKO NI BORA KULIKO DHIHAKA NA KEBEHI
Back
Top Bottom