ram ismail
Member
- Jul 23, 2015
- 28
- 6
Habari za asubuhi wakuu, niko chuo kikuu mwaka wa kwanza, sasa nataka nibadili jina langu ninalotumia chuoni, Je itawezekana? na je, kutakuwa na madhara yeyote TCU na HESLB kwenye boom langu? Naombeni ushauri jamani. USHAURI WAKO NI BORA KULIKO DHIHAKA NA KEBEHI