Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,249
Hizi ndizo dalili kuu za mtu anayeanza kukata network baada ya kuondoa na safari kadhaa za ulabu
- Alikua anaongea kawaida tu lakini taratibu sauti inapanda
- alikua anaongea kiswahili ataanza kuchanyanya na kidhungu
- glasi alikua anaweka taratibu na sasa kila anapoweka lazima kuwe na mshindo wa meza kwa sababu anaiona iko karibu kuliko mwanzo
- kama ni mwanaume aliingia akiona wahudumu wabaya utaanza anaanza kuwatamani
- ..........................ongeza