Recent content by Rakim

  1. Rakim

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ametukanwa tena na Jarida la Economist. Tukiendelea kunyamaza, itafika siku Uongo huu utageuka Ukweli!

    Watuache Waafrika tuendelee na kanuni zetu za kiutawala, wao wanataka tufuate kanuni yao wanayoita democracy! Sisi system yetu ya kiutawala ni kama zile Chifu Mkwawa, Mtemi Mirambo, Chifu Isike, nk. Hatutaki watulazimishe wanayoyataka wao
  2. Rakim

    JamiiForums Tanzania Tunakosea kumchukulia "serious" RC Makonda

    Sound and logic explanation mkuu
  3. Rakim

    JamiiForums Tanzania Tunakosea kumchukulia "serious" RC Makonda

    Umeongea fact mkuu na nimekukubali sana kwa preamble ya dibaji yako hapo juu
  4. Rakim

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Shuka nzuri mtumba grade 1

    Taja bei mkuu
  5. Rakim

    JamiiForums Tanzania CCM Jimbo la Rufiji washindi wawili

    CCM ni wababaishaji hivyo ni jukumu la kila mpiga kura kuwaadhibu kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu, kwa ngazi zote urais, ubunge, na udiwani
  6. Rakim

    JamiiForums Tanzania Dkt. Reginald Mengi: Kamukara amefariki dunia katika mazingira yaliyosheheni utata sana

    Allal Subhanah Wa Taala ajua zaidi
  7. Rakim

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa wanaoenda kwenye usaili na vyeti halisi

    Comprehended......!
  8. Rakim

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Sheikh Omary Alhad wa msikiti wa Kichangani Magomeni, afariki dunia

    Inna Lillah Wainna Illah Rajiun
  9. Rakim

    JamiiForums Tanzania Hawa Ghasia ni mweupe kweli kweli! Sijui huo uwaziri kaupata kwa vigezo gani!

    Ww unafikiri uongozi lazima uwe na degree? Acha kumsimanga huyu dada kwani viongozi wangapi wenye PhD. hakuna kitu kama Anna Tibaijuka, Prof. Mahalu, Prof. Muhongo, etc. Acha ubabaishaji we shoga wa kitongoji. Je, dada yako aliwahi pata hy degree unayoita ya chup****. Kila mtu ana uhuru wa kutoa...
  10. Rakim

    JamiiForums Tanzania Hawa Ghasia ni mweupe kweli kweli! Sijui huo uwaziri kaupata kwa vigezo gani!

    Hayo ni maneno ya kibwege hayana msingi wowote
  11. Rakim

    JamiiForums Tanzania Kapuya Matatani: Adhibitiwa na kitoto kinachodai alikibaka, akakiambukiza virusi

    Kama ni kweli ametenda hivyo ni budi awajibishwe! Kwani si maadili katika ubinadam.
  12. Rakim

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa na Dharau kwa Chuo Kikuu cha Mlimani (UDSM)

    UDSM si tatizo: tatizo ni mtu mwenyewe binafsi, kama mtu ni kichwa maji hata apige shule Havard hawezi kubadilika!
  13. Rakim

    JamiiForums Tanzania Tambo zimesababisha Masogange kudakwa na madawa?

    Wallah Wa_Tz ni hatari dawa za kulevya!
  14. Rakim

    JamiiForums Tanzania Wazo la Leo:Ukioa Mke si bikra Ujue Umeoa Mpenzi Wa Mtu.

    Sasa wakuu inakuaje kwa yule ambaye ameoa mjane, naye je?
  15. Rakim

    JamiiForums Tanzania New International Airport and Port in Bagamoyo; hivi ni vipaumbele sahihi?

    Ukweli ni kuwa Plan hizi hazina strategies za ukweli katika kulijenga taifa hili kwa dhati,kwani badala ya kutoa vipaumbele kwa bandari zilizopo za Dar,Mtwara na Tanga pamoja na Viwanja vya ndege tulivyonavyo vya Dar,Mwanza,Mbeya na Kilimanjaro. Sasa serikali inaonekana kwenda mrama kwa kubuni...
Back
Top Bottom