Recent content by Rajasili

  1. R

    Used laptop for sale

    Chukua 250
  2. R

    Nauza laptop

    Chukua Mia 50,afu Weka 4n namba yako
  3. R

    Nauza laptop

    Chukua Mia 50
  4. R

    Mini laptop

    Me Natafuta Laptop Ya Laki Mbili,na Nusu mwenye Nayo,
  5. R

    Karibuni zanzibar

    Vp,nafasi Za Kazi?nna Dogo Wangu Kasomea Mambo Ya Hotel Management
  6. R

    Msaada Biashara ya Library

    Habarin Wadau,nko Ruvuma Huko Nataka Kuanzsha Biashara Ya Kukodisha Na Kuuza Kanda Za Cd,vp Ina Athar Gan Hii Biashara?na Je Kwa Sh.laki Tano Itatosha?
  7. R

    Political Science and Public Adminstration vs Education

    Nyie Km Mnataka Kufa Njaa Somen Hyo Course,mtasugua Kitaa Mpk Miaka 10,ushaur wangu soma education,ndo uhakika wa ajira then badae unaangalia ustaarab mwngne,
  8. R

    Nasikitishwa na vitendo vya hujma z’bar-maalim seif

    Tuache uchadema,alosema maalim ni ya kweli kabisa
  9. R

    Mbunge wa CCM, Abdallah Mtutura akutwa na kashfa ya ujangili wa meno ya tembo kama Kinana

    Huyu mtutura,,hamna kitu kabisa kwa cc wana tunduru,kwan hana anachofanya,yupo kimaslah zaidi
  10. R

    Kilio Chetu Kwa Wana Tunduru; Wabunge Wetu hakuna wanachotufanyia cha maana

    Mimi Si Mwanasiasa,ila leo Natoa Kilio Changu Kwa Wabunge Wa Tunduru Kupitia CCM,mh. Mtutura na Ramo Makani,kwakweli mpaka leo hakuna cha kujivunia walichotufanyia hawa wabunge,hasa hasa huyu injinia Ramo Makani. Kwakweli inasikitisha kuona Tunduru mpaka leo maendeleo hakuna na wao ndo...
  11. R

    Taarifa Njema kwa wapenda AMANI - REDIO IMAAN itakuwa hewani in near future-ELIMU BILA MIPAKA

    Karbu sana,radio imaan,tunaisubr kwa ham,msiogope vitisho penye ukweli mseme
  12. R

    Sheikh mkuu wa Dar es salaam, haki ndio msingi wa amani

    Hana Lolote Huyo Shekhe,kazi Ya Kuwagawa Waislam Kimakundi,na Kusema "waliouona Mwez Ni Ansar Sunna,tuendelee Kufunga"kwan Ansar Sunna Syo Waislamu? Wana La Kujbu Kwa Allah Hawa Viongoz Wanaoungana Na Makafr Kuukandamiza Uislamu,huyu Na Muft Wa Bakwata C Ndo Wana Support Mashekhe Wahojiwe Na...
  13. R

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    We Nenda Pale Ofc Za Halmashaur Tunduru Pale Idara Ya Elimu Kwenye Mbao Za Matangazo Kuna Jamaa Anaitwa David Yuko Simiyu Anataka Aje Tunduru,kuna Contact Zake Pale
  14. R

    Natafuta Laptop Used Ya Laki 2,

    Pouwa Ngoja Ntaktafta
  15. R

    Natafuta Laptop Used Ya Laki 2,

    Wadau,nahtaj Laptop Ya Laki mbili Kwa Matumiz Binafsi,isizid Laki Mbili,
Back
Top Bottom