Subir kwanza kuza kipato hata kwa miaka 2 ufike umri 30 mjue mweza wako pia kabla ya kuingia kwenye ndoa je ni mvumilivu wa hali yako, usije ukawa umemsaidia mangi dukani kumletea utamu karb ww unaend miangaiko yy anashindwa kuvumilia kipato kidogo bac mangi na boda boda hawana huruma...
Wakuu uzi ulipata washauri wengi sana hadi lengo likapotea sasa watu wameshapata tunaomba iwe muda wa ushauri wa fursa kabla hela hazijaisha. Sio tunaanza mwezi kwa shida na kazi mko kimya tukidai ujira inakuwa maneno tukumbukane muda wote kwa sasa Ile kauli mtu akiwa ananjaa anamatusi haitakuwa...
Kila ki2 ni tafsir 2 kwani ukilipwa tarh 23 ukaanza mwezi hadi tahr 23 si siku 30 hzo umetumikia unatakiwa kilipwa ujira wako tatzo tumekariri tarh za kwenye kalenda na sio siku zakufanya kazi
Fursa huko ni kilimo kufuga au kufungua duka la mangi sasa inategemea na sehemu ulipopelekwa Kuna jamii zina wivu hawapendi maendeleo watakupiga juju ila hamna kukata tamaa utatoboa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.