Kwa akili zangu tu za kawaida,nape ni mchanga sana katika masuala ya siasa,ni dhambi kubwa kwake kuweza kuwatusi,kuwakebehi na kuwadharau wazee ambao hakika wamemzidi kila kitu.umri,akili,mali,madaraka na umaarufu wa kisiasa na hata masuala mengine ya kijamii.Lakini pia akumbuke kuwa suala la...