Hatimaye Dk. Juma Mwaka ajisalimisha Polisi

Hatimaye Dk. Juma Mwaka ajisalimisha Polisi

images (1).jpg
jambazi mwingine huyu hapa anayejiita Dr. Rahabu Lubago, kawaliza wengi na majani ya mipapai eti anatibu vidonda vya tumbo!
 
Wizara nzima inakimbizana na mtu mmoja kila siku. Hao mtapeli wengine mbona hamuwakamati?
Huduma za afya ndo zimetengemaa?
Baada ya kupewa adhabu wenzake wakatii yeye kwa ujanja ujanja akabadili jina la kampuni kutokana Foreplan herbal clinic kuwa Foreplan (T) Limited na kuendelea kutoa huduma ileile, hilo ndilo kosa lake.
 
Nafikiri cha msingi juwa yuko mikono salama, polisi ni polisi tu uwe umejisalimisha au umekamatwa mahabusu ni moja, hakuna mahabusu ya aliyejisalimisha na aliyekamatwa.
Mbona nimekutanae pale ilala anakunywa chai, kawekwa sero ipi
 
Back
Top Bottom