Recent content by RaisMarangu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Shukrani za dhati kwa Dr am 4 real phD kwa kunitumia 3k ya kula leo

    atume na kwetu tumshuru ,wewe hujashukuru bado
  2. R

    JamiiForums Tanzania Picha za Rostam Aziz kwenye harakati

    matajiri ndo wanavyovaa white shirt
  3. R

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha! Mmoja wa viongozi wa vyuo vikuu vyetu nchini anavuta bangi

    sisi tunaosoma post yako wengi tunavuta, wake zetu wanavuta ,viongozi wanavuta sasa hakuna jipya ,ungesema ni mvivu hapo tungejadili
  4. R

    JamiiForums Tanzania Muujiza wa Tony Kapola: Je aliombea mtungi mkubwa au mdogo?

    wanawake wa siku hizi hawapiki,chakula chake kinapikiwa sinza na mdada anayeuza uji pale church kwake kama anabisha nilete ushahidi
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia amuondolea hadhi ya Ubalozi Ndg Humphrey Polepole

    kaka waambie tu wenzio warekebishe waandike Rais ameridhia ombi la balozi polepole kuacha kazi,msimpigishe Rais Shot kaka waambie tu wenzio warekebishe waandike Rais ameridhia ombi la balozi polepole kuacha kazi,msimpigishe Rais shot
  6. R

    JamiiForums Tanzania Sababu gani zinakufanya uchelewe kulala? na nini kinakusaidia kupata usingizi?

    Soma Biblia tu au Kuran lazima ulale
  7. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi yupi ni shangazi kati ya dada yake baba au mke wa mjomba

    mke wa mjomba ni mkaza mjomba au Mama
  8. R

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    swali vipimo vya malaria katika hosp za serikali havifanyi kazi au nimekutana na changamoto hiii naambiwa sina malaria nina blood infection, mpaka nilipojikuta ICU hosp fulani nikakutwa na malaria 4147 nipo tayari kushirikianq nanyi tuokoe wengi
  9. R

    JamiiForums Tanzania Expect Bashiru in top level management again by 2030

    in swahili ni hivi Katika Baraza la Mawaziri Bashiru anasema "nilijisikia ... kulazimishwa sana kuhakikisha kwamba manusura wengine ambao wanapata ujasiri wa kuripoti shambulio lao ili mchakato huo ufanywe kwa heshima na taadhima," alisema, akikiri kwamba alifanya makosa na alikuwa akitoa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Range Rover, Land Rover, Land Rover Discovery, magari ambayo kwa sasa Mwingereza amechemsha

    tz uwezo wa kumili hizi ndinga ni kwa wachache ulipwe mil 2 mshahara unakimbilia hizi ndinga umeumia ,Rudi kwenye Baby walker i mean IST
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mambo arobaini 40 yatakayokuepusha na Kifo cha mapema ndugu mpambanaji mwenzangu

    Kuna hili la Dawa unapoandikiwa 2x3 au 1x2 jamani uliza neno moja tu una meza kila baada ya masaa mangapi watu wameua figo sana
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje? Mpangaji mwenzangu amekuwa ombaomba sana mpaka kero

    usihame mwombe Mungu akubariki uendelee kuwasaidia,na wewe ukiwa na kazi za kufua washirikishe uwalipe waongeze kipato,
  13. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siijui formula ya kuoa lakini haya ni mambo nayodhani yemechangia nimepata mke mwenye ushirikiano tunaeishi kwa amani, waweza pata somo

    ukifanikiwa kila Jambo ni Muhimu kujifunza kunyamaza ,KUZUNGUMZA ni fedha, kukaa kimya ni dhahabu.”Hivyo ndivyo inavyosema methali moja ya kale na kitabu cha bible kitakatifu kina neno kwenye MITHALI 11:12 Asiye na akili humdharau mwenziwe; Bali mtu aliye na ufahamu hunyamaza. MITHALI 17:28...
  14. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni siku ya tatu leo jirani yangu amenikasirikia nashindwa kuelewa sababu kuu ni ipi kati ya hizi?

    Mtolee sadaka kanisani Mwombe Mungu amfanye awe mbali na wewe
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mahali hapa dar kuna uchawi kuzidi Chanika,chamazi na Mbagala ???

    upanga ndio kinara kuna nyumba hazikaliki, nionyeshe huko unakosema nyumba wasioweza kuishi watu
Back
Top Bottom