Expect Bashiru in top level management again by 2030

ukiangalia harakati za Bashiru na Magufuli unapata mashaka kama hawa watu ni watanzania. hii michakato huwa tunaisikia Burundi na Rwanda
Wanapewa majina mabaya kwa sababu ya kuwaibua wezi wa mali za chama. Hilo liko wazi. Kuna watu waliumbuliwa na wengine walinyang'anywa tonge midomoni.
 
Mie nilichokipenda kwenye utawala huu wa Mama atleast kajitahidi kufanya mijadala iegemee upande mmoja tu...na hii ndio mbinu nzuri ya kuua Upinzani bila kumwaga damu.

Now everybody talks about CCM na mambo mambo zake...mpaka mtaani hakuna vijiwe tena vya nccr,cuf,chadema wala nani...CCM tu on point!!
 
Huyu Bashiru Ally, Mrundi aliyeletwa kwenye CCM na Ikulu na marehemu mrundi mwenzie? HAPANA, ukurasa wake umekwisha na 2025 ndiyo mwisho wake na ubunge wa viti maalum
Una sababu yoyote ya msingi ya kumbagua mwafrika mwenzako kutoka taifa lingine lililopatikana baada ya wakoloni kutuwekea mipaka ?
 
Ninayo sababu. Magufuli katuharibia sana umoja wetu, upendo na amani iliyojengwa na waasisi wa Taifa letu. Magufuli katuletea chuki ya vyama, ukabila na uuaji na utekaji. Hatutaki mrundi mwingine apenyeze
 
Wewe umemchukia nani?
Mnakuza sana mambo.
Nani kamchukia nani nchi hii?
Mnachukiana ninyi wenyewe huko juu kwa kugombani nafasi. Na imekuwa hivyo hata wakati JPM ni mwanafunzi wa sekondari.
Wanasiasa kuchukiana haimaanishi watanzania wanachukiana.
Umoja wa Watanzania una mizizi.
Umewahi kusikia msukuma akisema hanunui kitu duka la mangi? Au mnyamwezi akisusa kitu katika mgaawa wa mpemba?
Au mkerewe akikataa kupanda basi la mchagga? Acheni kukuza mambo.
Mnataka chuki zenu zionekane za Watanzania wote.
Watanzania huku chini wanasaidiana kama ndugu wa damu moja.Hatuna ukabila.
Wanasiasa ndio wana uvyama l, elements za ukabila na ndio wanapenda kugawa watu.
Na sio mwanasiasa mmoja. Ni majority ya wanasiasa.
Labda wamakonde kidogo. Sijawahi kuona mmakonde akimbagua mtu.
 
Umeandika kitu kizuri sana, na hivyo ndiyo Tanzania aliyoiasisi na kutuachia Nyerere inavyopaswa kuwa. Magufuli kwa kauli zake ambazo voice clips alikuwa anatugawa kama ifuatavyo:

1. Kule Tunduma alisema siwezi kuwapa maji kwa vile mlichagua upinzani.

2. Kitendo cha kumshambulia Tundu Lissu kwa risasi baada ya kupishana
mawazo

3. Kununua wabunge wa upinzani kama kina Silinde, Gekul, Mollel, Mtulya ili kuidhiofisha CDM na CUF

4. Kutumia raslimali za Nchi nzima kujenga wilayani kwake

5. Kuwaweka kwenye nafasi nyeti wanafamilia wake kama Ditto James na Kalemani

6. Kujitangazia ushindi wa uchaguzi wa 2020 wakati hakushinda. Mbaya zaidi kuweka wabunge anaowataka yeye kutoka CCM hata kwenye majimbo waliyoshinda washindani.

Bila Mungu kuingilia kati pale 17/ Machi / 2021 ingekuwa vigumu hili dude kutoka madarakani
 
Zaidi ya namba moja ambayo ni kauli ya kisiasa ambayo hata wapinzani huongea, nyingine zote ni madhanio tu.
 
Back
Top Bottom