Recent content by raisi2020

  1. raisi2020

    Hivi mrembo Sanchoka ana ndugu?

    Mwache awaoneshe jinsi walivyo wanawake wa mfano wake,mle japo kwa macho coz hamuwezi kuwafikia warembo kama yeye
  2. raisi2020

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hili shirika kichefuchefu,Jana tumeshinda bila umeme maeneo ya kipunguni mashariki na ni nyumba chache tu majirani wanapatA wengine hawapati,likawa solved jioni take kesho yake,watupa mgongo tena, hivyo sasa doro tena
  3. raisi2020

    Utata kuhusu mirathi ya watoto wa familia iliyoishi bila ya kuoana

    Kuna sinto fahamu,kuna msiba ulitokea somewhere,MTU aliyekufa ni mwanaume,hakuwa ameoa,ila Mara ya mwisho ameishi na mwanamama mmoja takribani ten years bila ndoa mpaka mauti ilipomfika,ila huyu baba ana watoto wengi nje na wakubwa na family zao,sasa baada ya msiba kuna mchezo unafanywa wa...
  4. raisi2020

    PUNYETO: Je ni dhambi, Kosa kisheria?

    sasa si uamue kugawa hovyo hovyo,kuliko kujifanya hivyo,aliye mbele twende mladi avae mpira
  5. raisi2020

    Prof. Muhongo kutoka si suluhisho: Tatizo mikataba ikoje?

    Hamna shida kamishna wa uhamiaji
  6. raisi2020

    Prof. Muhongo kutoka si suluhisho: Tatizo mikataba ikoje?

    Wewe mbona nakufahamu,nyumbAni kwako ni mbishi mpaka wamekuchoka,au unaona ya raisi tu
  7. raisi2020

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    ninamaanisha unapenda kuweka mambo ambayo si msingi na kuuchosha moyo wako,bure
  8. raisi2020

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Lete vyeti vya bashite kama unavyo
  9. raisi2020

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Lete vyeti ulivyonavyo wewe vinavyoonesha jina la bashite,then ndio uongee upuuzi wako,usishikwe maskio
  10. raisi2020

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Wewe ni mpuuzi,una siasa za jihadi,utakufa mapema
  11. raisi2020

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Kama user name ilivyo,kuanzia leo nahitaji kumwachia raisi wangu magufuli aendelee tu na huu uraisi mana ni mtu wa maana sana ktk nchi hii,ni mtu asiye tazama urafiki,undugu wala ujama,hongera na mungu akulinde,na nitakuwa wa kwanza kukutetea kwa lolote ndani ya hii forum najua watakuelewa tu
  12. raisi2020

    Prof. Muhongo kutoka si suluhisho: Tatizo mikataba ikoje?

    kuwajibishwa kwa kiongozi sio mpaka afanye yeye kosa,hata kama atafanya wa chini yako,kama wewe kiongozi hujagundua na kumshauri raisi ni kosa pia
Back
Top Bottom