Recent content by Raisi WA JF

  1. Raisi WA JF

    JamiiForums Tanzania Kusaidia watu hapa JF ni sahihi au si sahihi?

    Mwamba huyu Hapa😹
  2. Raisi WA JF

    JamiiForums Tanzania Nataka Nifanye Biashara Ya kuuza Nguo za Wanachuo

    Habari, Asee Samahani Anaejua Machimbo mazurii Ya Nguo Haswa Zile zinazopendwa Na wanachuo Kwa Dar[emoji120] Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
  3. Raisi WA JF

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni kama sumu usijaribu kuonja hata kama imeisha muda wake wa matumizi

    Yalishanitokea Kwa demu mmoja ivi Asee Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
  4. Raisi WA JF

    JamiiForums Tanzania Nunua mihogo yao lakini kuweni makini sana wanapoomba muwatwishe mabeseni yao kichwani

    Sasa Wakale Wapi? Kazi yenyewe Ngumu Hiyo Kuzunguka Na beseni Mimi Nashauri Sio Kuiba Baraka Tu Wanatakiwa Kutafuta Na dawa Ya Kuroga Wale Ambao Wanaomba Muogo WA Kuonja Halafu Hawanunui .. #Maendeleo_Hayana_chama Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
  5. Raisi WA JF

    JamiiForums Tanzania Napendwa na kila mwanamke mpaka najuta kuzaliwa

    Yenye Tangawizi na chaichai
  6. Raisi WA JF

    JamiiForums Tanzania Ni halali Wazanzibari kufanya kazi za Watanganyika?

    Wewe Ulitakaje Kwani, Hivi Hata Kwenye Sinia Kaka na Mdogo wake hawaendi Matonge Sawa Kuna Muda Anamwachia Ashibeee, Mimi Nikiangalia Sioni Tatizo Apo Maana Tanganyika Tumewazidi Zanzibar Kwa Vingi Hivyo Hatuwezi Kungangania Ardhi Yao kuchenga Uko Kati Tuna Mapori Mengi Huku Bara, Pia Kwenye...
  7. Raisi WA JF

    JamiiForums Tanzania Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Nipe Mimi huyu demu wako, Nikufichie Aibu ya kushindwa mbebesha Mimba
  8. Raisi WA JF

    JamiiForums Tanzania Nimeota nimejisaidia haja kubwa

    Kweli
  9. Raisi WA JF

    JamiiForums Tanzania Nimeota nimejisaidia haja kubwa

    Hiyo Ndoto Ni Mbaya Sana Kama Uliota Unajisaidia Kwenye Choo Kichafu Uhashilia Kuchafukwa Kwa Nyota, Mikosi, Kuharibikiwa Yani Piga Goti Usali Omba Msaada WA MUNGU Maana Malaika WA MUNGU Utujulisha Yale Yatakayo Tupata Kabla Kwa kupitia Ndoto, jicho kucheza Na Ishara Nyingine.
  10. Raisi WA JF

    JamiiForums Tanzania Mapungufu yangu naona ndio sababu

    Tafuta khelaa pili Acha kufatilia/ kuangalia series za kikorea
  11. Raisi WA JF

    JamiiForums Tanzania Nilimtongoza akanikatalia sasa hivi anataka niwe natembea naye kila sehemu

    Kweli Asee [emoji23][emoji23]
  12. Raisi WA JF

    JamiiForums Tanzania Nishaurini chochote

    [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
  13. Raisi WA JF

    JamiiForums Tanzania Nilimtongoza akanikatalia sasa hivi anataka niwe natembea naye kila sehemu

    Usimwambie kuhusu mambo ya relationship ama kutaka kuwa nae Tena atakuona fara wewe Mwambie siku Moja aje Geto kwako na kama akija kweli basi Ushindwe wewe tu Hapo
  14. Raisi WA JF

    JamiiForums Tanzania Nishaurini chochote

    Nimepokea Ushauri wako Mkuu barikiwa sana[emoji120]
  15. Raisi WA JF

    JamiiForums Tanzania Nishaurini chochote

    Hivi wewe unapofikia hatua ukakosa cha kufanya, matumaini uliyokuwa nayo yakayeyuka, watu uliowategemea wamekuacha, kanisani unaogopa hata kukanyaga maana wanakudai sadaka ya ujenzi na michango mingine, kila ukipiga magoti kusali unahisi maombi yako Mungu haya sikiii, umri unasogea ila wewe bado...
Back
Top Bottom