Mapenzi ni kama sumu usijaribu kuonja hata kama imeisha muda wake wa matumizi

Mnyiramba

JF-Expert Member
Jun 19, 2022
1,112
2,957
Naam hapa nazungumzia ile hali ya kumtongoza Mwanamke kwa leo tu la kula kimasihara yaani hit&run!

Yaani hii kitu ni hatari mno maana unajikuta unamtongoza Mwanamke ambaye sio type yako kwa lengo tu la kufake mapenzi lakini mapenzi yalivyokuwa ya ajabu unajikuta umempenda kweli hadi unahisi kuna imani za kishirikina. Yameshanitokea zaidi ya mara mbili, chaguo langu mara zote ni Mwanamke mrefu mwembamba!

Lakini mara kadhaa nimejikuta na fake kumtongoza Mwanamke mfupi ili kujifurahisha tu maana najua sio chagua langu ila naingia kimasihara lakini nashindwa kutoka kimasihara!

Mapenzi ni kama sumu usiijaribu hata kama ime expire date.
 
Back
Top Bottom