Kama umeweza kununua bati ya south hukutakiwa kutafuta mtu wa bei poa kiasi hicho; kama unaweza kukusanya ufikishe 1.5m nijulishe kwa pm nikutumie fundi expert anakodishwa hadi mikoani ila ni wa Dar.
Nahisi hawezi kufanya hiyo kazi chini ya bei hiyo kwani kazi zake ni za viwango....
ongeza 500k nikupatie suzuki eskudo 3door (arusha)
Rangi yake maroon (dam ya mzee) imepauka kidogo hivyo unaweza kuirudia ukipenda.
Nimeipaki kwa 3 months sasa...natumia gari nyingine...
Kwa ushauri wangu
Tangazo lako lina kosa vitu muhimu vifuatavyo;
1. Picha ya unacho kiuza
2. Mahali ulipo/mzigo ulipo
3. Bei ya kuuzia na kama ni fixed au mtu anaweza kuongea
Hayo mengine ya specification ambazo naona hujakamilisha sio mbaya sana kwani wanayo jua hiyo mashine wanaelewa what to...
Mimi ilikuwa 2007 nilipata ride ya kwenda Serengeti, nikapiga suti na scaf; kuingia kwenye ndege (hizi ndogo za watu 12) nakuta watu wamevaa simple sana kwa kuwa wanaenda bush; nilijisikia vibaya sana...
Binafsi nakubaliana na kipima mbele;
Wanaume kwa wastani huhitaji sex kila siku hasa akiwa na mwanamke. Sasa kuishiwa hamu kwa kipindi kirefu hivyo inaweza kusababishwa na Msongo wa mawazo (stress), magonjwa kama pressure na kisukari, uzito wa kupindukia nk; ila stress zinazo leta na kukosa...
kwa mtazamo wangu
Elimu ya chuo kikubwa ni kumpa mwanachuo outline itakayomfanya asome/atafiti na kuwa na upeo mkubwa zaidi hata kuliko kile alichofundishwa. Na ndio maana ukifuatilia ugunduzi mwingi mkuwa duniani hutokea kwenye vyuo vikubwa na hutokea zaidi kwa wana vyuo kuliko lectures.
Huu...
mimi najua kwa kiasi kikwa ni kuridhi na Hormne
Ila kutumia dawa za family planing bila kuwasiliana na daktari akakupima akajua ni ipi itakufaa kulingana na reaction ya mwili wako, huchangia kwani huenda kuingilia mfumo wa hormone za uzazi
Hiyo ya mkorogo nilikuwa sijaijua
Autorun255??
binafsi huwa siwaelewi watu kama wewe mnaochanganya hoja za msingi na uwezo wa kuongea kiingereza; kingereza ni lugha tu na haisaidii kuonesha kuwa mtu anauwezo wa kubeba masuala mazito ya nchi.
Wajapan, na hata Wachina wanaoenda kuchukua uchumi wa dunia wanaongea kiingereza cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.