CYBERTEQ
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 7,341
- 4,076
heshima yenu wakuu nimefanikiwa kupata vijinoti nikaona bora na mie nitafute banda la kujificha pamoja na wanaonizunguka,, hela yenyewe ya kuunga unga aise nilinunua bati za msauzi nikampa fundi kumbe hakuwa na utaalamu nazo hivyo akaniharibia kanitia hasara kama, kuna mtu anamjua mtaalamu wa kupauwa bati la msauz ani pm asiwe wale wa bei za contractors kwani najenga kwenye squatters angalia kiambatanisho![]()
dah, hii kweli hasara, huyo fundi anatakiwa awe ndani mpaka muda huu!!! wenzako huwa wanafanya hivi kama hana muda wa kusimamia au knowledge ya mambo hayo pia ni ndogo; unatafuta mwanafunzi wa mwaka wa pili unampa laki mbili anasimamia.