Recent content by raha54

  1. R

    Ajira mpya jeshi la polisi

    Nahulizia maendeleo ya hii kazi! Watu wameshafanya usahili kama teyari usahili umefanyika wataondoka lini?
  2. R

    Sherehe kubwa ya Dk Slaa; Nilidhani CHADEMA ni watu wenye utu...

    WAHI KAWAZIKE WAFU WENZIO HUKO ZENJ kauli yako sio nzuri,waliokufa ni ndugu ZETU JAMAA ZETU,BINAFSI mfanyakazi wa jirani yangu alipanda hile MELI kauli yako NI CHAFU NA INAKERA.
  3. R

    Msaliti wa Dk. Ulimboka yuko ikulu?

    Ebu someni vizur,
  4. R

    Ajira mpya jeshi la polisi

    Mbona kimyaa maendeleo hatuambiana
  5. R

    Dr. Ulimboka Kutema Cheche

    Hukisoma vizuri wanasema hakuna mtu aneyeruhusiwa kuingia zaid ya ma dk.naomba kujuwa ninani aliyekwenda kurekod hy sauti!
  6. R

    Dkt. Ulimboka amuumbua mmoja wa wahusika wa utekaji wake!

    Wanasema hawezi kuongea sasa hayo maneno yametoka wapi?
  7. R

    Mbinu chafu za serikali kuficha ukweli juu ya Dr. Ulimboka

    Chanzo cha hii habari ni nini?
  8. R

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

    watu hawataki kufikiri nahamini kama serikali ilifanya hv ingempoteza kufuta ushahd lakin iweje haachwe hai!ebu tujarib kufikiri.swali kunawatu walipambana kumuokowa au hamekutwa katupwa 2!
  9. R

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

    Mi naona hatutaki kufikiri,kwani jihuridhe we ndio serikali na umehamua kufanya hivy kiukweli ungemuacha mzima na kwanini ulihamua kufanya hvy!binafsi na imani na serikari naona wasihoipendea amani nch yetu ndio wanayafanya haya.
  10. R

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

    Ningependa tujarib kufikiria kidogo,hiv wafanyakazi wako hawataki kufanya kazi labda kwa sababu yoyote ile,hv unaweza kweli kutumia nguvu mmh ni jambo lisilowezekani,ila yule aliyekuwa adui yako anawezakutumia nguvu kwa wafanyakazi wako ili wewe huaribikiwe.
  11. R

    Jinsi ya kum block mtu asikupate kwenye mitandao ya simu

    Herzlich willkommen in Tansania! Kommen Sie und sehen wundervolle Dinge ooh das ist wirklich erstaunlich! TANSANIA, DEMOKRATISCHE REPUBLIK
  12. R

    Simbachawene - tuhuma za fumanizi ni utata, lugha gongana

    Mkaahe mkijuwa sio matukio yote rpc anayafahamu,mfano huku kwetu kuna mdada kaibiwa simu akaripoti polisi then akaenda kwake unataka kunambia rpc analifahamu hili,kama risasi zingelizwa ooh hapo lazima apate taharifa ama kitu kingershwa live!tusiwe wajinga wa kufikiri!taharifa inasema alihumia...
Back
Top Bottom