Recent content by rafael mtuvenge

  1. rafael mtuvenge

    JamiiForums Tanzania Zanzibar (Unguja mjini) Mji mchafu kuliko yote Tanzania

    Znz mvua zinyeshe mwezi mzima hukuti mavi mitaani ila dar mvua dakika 15 tu kila sehemu mavi watu wanafungulia vyoo vp hapo ndio usafi unaosemwa hapa au
  2. rafael mtuvenge

    JamiiForums Tanzania Zanzibar (Unguja mjini) Mji mchafu kuliko yote Tanzania

    Nakukubali mkuu mpe huyo
  3. rafael mtuvenge

    JamiiForums Tanzania Je, ulijisikiaje siku ya kwanza ulipoijaribu bangi? Mwenzenu ilikuwa hivi...

    Mm nilitoka uwanja taifa nakimbia hadi magomeni kila nikigeuka nyuma nasikia kelele huku naona km kuna kundi la askari kuubwa linanikimbiza
  4. rafael mtuvenge

    JamiiForums Tanzania Arogwa na kugeuka Mbuzi

    Umeona eeeehh
  5. rafael mtuvenge

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda : Nilipotea njia na kuingia chumba cha majini

    Hakuna lolote hadithi za vitabuni tu hizo na kuamini ushirikina
  6. rafael mtuvenge

    JamiiForums Tanzania Picha hii ya muheshimiwa imekaaje?

    Wewe ulijuaje
  7. rafael mtuvenge

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana toyota cami kwa suzuki carry au hijet

    Weka no yako cary ninazo
  8. rafael mtuvenge

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana toyota cami kwa suzuki carry au hijet

    Wapi unapatikana wewe
  9. rafael mtuvenge

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Yanga afariki uwanjani

    Watu wantembea na maradhi hawajijui huo ushabiki hapo km sababu tu
  10. rafael mtuvenge

    JamiiForums Tanzania Bar ya Highland Tabata Baracuda inateketea kwa Moto mda huu

    Mm naona hata moto haujakolea km kuna nafasi unatakiwa ukolezwe hasaa hata majivu yasibaki
  11. rafael mtuvenge

    JamiiForums Tanzania Leo Asubuhi Nikiwa Ubungo bus terminal....

    Ainunue km alivyoinunua mara ya kwanza hataki basi achana nae ila km ni smart phone zima tupa lain weka stoo usiitumie
  12. rafael mtuvenge

    JamiiForums Tanzania Wamarekani wahofu ndege iliyotekwa itatumika kama silaha ya maangamizi

    Wamarekani si vidume sasa wanapagawa nn watulie tu wasubiri mavuno ya wanayoyapanda
  13. rafael mtuvenge

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kisheria nimepewa NOTICE na mwenye nyumba wangu

    Wewe anza tu nyumba za kupanga na wenye nyumba zao ni mashaka tu
  14. rafael mtuvenge

    JamiiForums Tanzania King'amzi kipi kizuri kwa hapa Tanzania

    Vyote mashaka tu
  15. rafael mtuvenge

    JamiiForums Tanzania Serikali Impe Ulinzi Said Bahanuzi!

    Tutamkalia kikao kumjadili wakiwekwa bench wanalalamika wakipewa nafasi mchecheto kibao
Back
Top Bottom